Qur'ani Tukufu
IQNA - Nakala za Qur'ani iliyoandkwa kwa maandishi ya mtindo wa kaligrafia ya Uthman Taha itachapishw nchini Iraq kwa mara ya kwanza.
Habari ID: 3479886 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/10
Harakati za Qur'ani
IQNA - Kozi ya Qur'ani Tukufu iliyofanyika kwa wanawake kutoka Mkoa wa Babil wa Iraq ilifikia tamati kwa sherehe iliyofanyika katika mji mtakatifu wa Karbala.
Habari ID: 3479817 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/27
Harakati za Qur'ani
IQNA - Programu ya usomaji wa Qur'ani ilifanyika kwenye kaburi la Imam Kadhim (AS) huko Kadhimiya, kaskazini mwa Baghdad, Iraq Jumatano.
Habari ID: 3479754 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/15
Mashindano
IQNA - Washindi wakuu wa kategoria za qiraa na hifdhi za toleo la kwanza la Tuzo la Kimataifa la Qur'ani la Iraq walitangazwa. Sherehe za kufunga zilifanyika Alhamisi asubuhi katika mji mkuu wa Iraq wa Baghdad.
Habari ID: 3479750 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/15
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Hatua ya mwisho ya Tuzo ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iraq ilifanyika Jumanne huko Baghdad.
Habari ID: 3479747 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/13
Diplomasia
IQNA - Utamaduni ni kitovu cha utambuzi wa utu wa binadamu na haki za kimsingi za binadamu, amesema mwambata wa utamaduni wa Iraq nchini Iran.
Habari ID: 3479745 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/13
Turathi
IQNA - Chuo Kikuu cha Warith Al-Anbiyaa katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kinapanga kuandaa warsha za kuandika Qur’ani Tukufu kwa mkono.
Habari ID: 3479744 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/13
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Ali Gholamazad ambaye anaiwakilisha Iran katika toleo la kwanza la Tuzo la Kimataifa la Qur'ani la Iraq amesema amefurahishwa na jinsi alivyofanya vyema katika shindano hilo.
Habari ID: 3479740 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/12
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la kwanza la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iraq, ambayo ni maarufu kama Tuzo ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iraq, yameanza Jumamosi huko Baghdad, kwa kushirikisha washindani, majaji, na maafisa wa Iraqi.
Habari ID: 3479730 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Maustadh wawili mashuhuri wa Qur'ani wa Misri ni miongoni mwa wajumbe wa jopo la majaji katika mashindano ya kwanza ya kimataifa ya Qur'ani nchini Iraq.
Habari ID: 3479728 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/10
Qurani
IQNA - Kuna wanaharakati wanne wa Qur'ani wa Iran wanaohudhuria mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iraq yaliyoanza mjini Baghdad siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3479722 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/09
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Jumla ya washiriki 31 kutoka nchi kadhaa wamepangwa kushiriki katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani ya Iraq yanayojuikana Tuzo ya Kwanza ya Kimataifa ya Qur'ani la Iraq.
Habari ID: 3479716 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/08
Utamaduni
IQNA - Maonyesho yanayoangazia maandishi ya kaligarafia ya Qur'ani Tukufu yamefunguliwa katika mji mkuu wa Iraq wa Baghdad.
Waziri wa Utamaduni, Utalii na Mambo ya Kale wa Iraq alizindua maonyesho maalum ya maandishi ya kaligrafia ya Qur'ani Jumatatu, Oktoba 21.
Habari ID: 3479634 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/23
Jinai za Israel
IQNA - Imamu wa Swala ya Ijumaa ya Baghdad amelaani kitisho cha utawala huo wa Israel cha kumuua mwanazuoni wa ngazi za juu wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Ali al-Sistani na kusema maelfu ya vijana wa Kiislamu Iraq wako tayari kuingia vitani kupambana na utawala huo wa Kizayuni na kuzima njama zake.
Habari ID: 3479587 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/13
Muqawama
IQNA - Maandamano yamefanyika katika mji mkuu wa Iraq wa Baghdad siku ya Ijumaa kulaani jinai zinazoendelea za utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
Habari ID: 3479580 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/12
Jini za Israel
IQNA-Serikali ya Iraq imelaani vikali njama ya utawala haramu wa Israel ya kutaka kumuua kiongozi mkuu wa Kiislamu nchini humo Ayatullah Sayyid Ali Sistani.
Habari ID: 3479567 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/09
Harakati za Qur'ani
IQNA – Kozi ya Tafsiri ya Qur’ani Tukufu imefanyika katika mji wa Basrah, Kusini mwa Iraq, kwa kushirikisha zaidi ya wanafunzi 1,000.
Habari ID: 3479553 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/07
Maulidi
IQNA - Wanazuoni wa dini mbalimbali walihudhuria mkusanyiko katika haram tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, Jumamosi, kuadhimisha Maulid au kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3479468 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/22
Harakati za Qur'ani
IQNA - Vituo vinne vya Qur'ani vimewekwa kwenye barabara zinazoelekea mji mtakatifu wa Najaf, Iraq.
Habari ID: 3479369 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la kwanza la Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani yaliyopewa jina la Tuzo la Qur'ani la Iraq yatafanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo ya Kiarabu, Baghdad, mwezi wa Novemba.
Habari ID: 3479355 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/30