iqna

IQNA

fatwa
Mafundisho ya Kiislamu
IQNA - Kituo cha Darul Iftaa cha Misri kimetoa Fatwa milioni 1.5 mshauri wa Mufti Mkuu wa nchi hiyo alisema.
Habari ID: 3478693    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/17

TEHRAN (IQNA)- Msomi mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Al Azhar amezitaja kuwa zisizo na msingi Fatwa za kupiga marufuku Waislamu kuwatumia Wakristo salamu za Krismasi.
Habari ID: 3474771    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

Mufti wa Misri
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri amesema Fatwa nyingi ambazo hutolewa na wale wenye misimamo mikali nay a kufurutu ada na ambazo huharibu sura ya Uislamu halisi hutokana na ufahamu mbovu wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474696    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/19

TEHRAN (IQNA) – Baraza la Fatwa katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) limetoa Fatwa kuhusu Saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wakati wa janga la corona au COVID-19.
Habari ID: 3472684    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/20

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ali Mohiuddin Al-Qaradaghi, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa Maulamaa wa Waislamu (IUMS) ametoa fatwa ya kuruhusu kutengwa maeneo maalumu misikitini kwa ajili ya kuwatibu watu ambao wanaugua ugonjwa wa corona au COVID-19.
Habari ID: 3472660    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/12

Mwanazuoni wa ngazi za juu Iran amempongeza Sheikh Mkuu wa Al Azhar kwa jitihada zake za kuleta umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3470490    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02

Sheikhe Mkuu wa Al Azhar
Sheikh Ahmed el-Tayyib, Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar, Misri ametoa wito kwa maulmaa wa Shia na Sunni kutoa fatwa ambazo zitawazuia Waislamu wa madhehebu hizo kusitisha malumbano ya kimadhehebu.
Habari ID: 3470474    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26

Wanazuoni wa Kiislamu leo wamemaliza kikao chao Misri ambapo wamejadili ‘ fatwa za misimamo mikali’ ambazo zimekuwa zikitolewa na makundi ya kigaidi hasa kundi la kitakfiri la Daesh (ISIS).
Habari ID: 3345846    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18

Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Najaf, Iraq katika hotuba zake jana amesema kuwa, ‘maeneo mengi ya Iraq yamekomboloewa kutokana na baraka ya fatwa ya Jihad al-Kifai iliyotolewa na Ayatullah Sistani.’
Habari ID: 3313860    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/13