iqna

IQNA

IQNA - Katibu Mkuu wa Majlisi ya Ulimwengu ya Ahl-ul-Bayt (AS) amesema si Waislamu pekee bali hata wasio Waislamu wanaweza kufaidika na mafundisho ya Tukio la Ghadir.
Habari ID: 3479011    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/24

Mwenyezi Mungu, katika Surati Al-Bayyina, anaielezea Qurani Tukufu kama kitabu chenye thamani ambacho kina sheria za milele za mwongozo.
Habari ID: 3477205    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/27

Ifahamu Qur'ani Tukufu/8
Quran Tukufu ni kitabu ambacho tangu karne nyingi zilizopita kimeanzisha mbinu za elimu.
Habari ID: 3477174    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/21

Mwanamke Mwislamu aliyekamatwa Uingereza kwa kusoma kitabu kuhusu Syria ameazimia kuwasilisha kesi kulalamikia namna alivyo dhalilishwa na wahudumu wa ndege pamoja na askari wa kupambana na ugaidi.
Habari ID: 3470494    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/04