iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) Waziri Mkuu wa Pakistan Imran Khan amekanusha kuwepo mashinikizo ya aina yoyote ya kuitaka nchi hiyo ijiunge na safu ya nchi zinazofanya mapatano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473474    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/20

TEHRAN (IQNA) – Maelfu ya Wa palestina leo wamshiriki katika Swala ya Ijumaa katika kibla cha kwanza cha Waislamu, yaani Msikiti wa Al Aqsa ulioko mjini Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3473467    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/18

TEHRAN (IQNA) – Mufti wa Quds (Jerusalem) amelaani vikali hatua ya Walowezi wa Kizayuni kuuhujumu Msikiti wa Al Aqsa mjini humo na kuweka nembo ya Kiyahudi ya Menorah katika msikiti huo.
Habari ID: 3473464    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/17

Kufuatia kuongezeka maambukizi ya ugonjwa wa COVID-19 au corona katika Mji wa Ghaza, wakuu wa eneo hilo la Palestina wanatekeleza hatua kali za kudhibiti maambukizi.
Habari ID: 3473460    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/15

Tunisia imesema haina mpango wowote wa kuchukua uamuzi sawa na wa Morocco wa kuanzisha uhusiano na utawala bandia wa Israel.
Habari ID: 3473457    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/15

TEHRAN (IQNA)- Waziri Mkuu wa Algeria amekosoa hatua ya Morocco kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473450    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/12

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imelaani vikali 'mapatano' ya kuanzishwa uhusiano wa kawaida baina ya Morocco na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473448    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/12

TEHRAN (IQNA) - Harakati za kupigania ukombozi wa Palestina zimelaani vikali hatua ya Morocco kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473444    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/11

Mwanazuoni wa Lebanon
TEHRAN (IQNA) – Mwenyekiti wa Baraza Kuu la Waislamu wa Madhehebu ya Shia Lebanon Ayatullah Abdul-Amir Qabalan amelaani vikali jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wa palestina Waislamu na Wakristo na kuongeza kuwa, kuanzisha uhusiano na Israel ni haramu.
Habari ID: 3473429    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/06

Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas), imelaani vikali kitendo cha utawala haramu wa Israel kumuua shahidi kijana M palestina aliyekuwa na umri wa miaka 14.
Habari ID: 3473427    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/06

TEHRAN (IQNA) - Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia ameeleza bayana kuwa kuanzisha uhusiano kamili wa kidiplomasia na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel ni sehemu ya ndoto ya muda mrefu ya kisiasa ambayo wamekuwa nayo viongozi wa utawala wa Aal Saud.
Habari ID: 3473426    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/05

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imelaani kauli aliyotoa waziri wa biashara, viwanda na utalii wa Bahrain kuhusu azma ya nchi yake ya kununua bidhaa zinazozalishwa katika vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kwenye Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan.
Habari ID: 3473421    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/04

TEHRAN (IQNA) - Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepitisha maazimio matano ya kuunga mkono Palestina na miinuko ya Golan ya Syria.
Habari ID: 3473417    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/03

TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mnasaba wa maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Kushikamana na Wananchi wa Palestina na kuitolea mwito jamii ya kimataifa kukabiliana na hatua za utawala wa Kizayuni wa Israel unaouwa watoto.
Habari ID: 3473415    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/02

TEHRAN (IQNA) - Mfalme Mohammad VI wa Morocco amesema nchi yake itaendelea kuunga mkono Wa palestina hadi watakaporejeshewa haki zao zote hasa kuanzishwa nchi huru ya Palestina mji wake mkuu ukiwa ni Quds (Jerusalem) Mashariki.
Habari ID: 3473411    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/01

TEHRAN (IQNA)- Mjumbe wa Mfalme wa Bahrain na wenzake aliofuatana nao wameingia msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem), unaokaliwa kwa mabavu na Israel, kwa kujificha wakihofu wasije wakatambuliwa na Wa palestina .
Habari ID: 3473409    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/30

TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia waziri mkuu wa zamani wa Sudan Sadiq al-Mahdi na kumtaja kuwa muungaji mkono mkubwa wa Palestina aliyepinga uanzishwaji uhusiano wowote na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473399    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/27

TEHRAN (IQNA) - Mchezaji wa zamani wa timu ya soka ya taifa ya Argentina Diego Maradona, aliyefariki Jumatano 25 Novemba akiwa na umri wa miaka 60 alikuwa muungaji mkono mkubwa wa Palestina.
Habari ID: 3473396    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/26

TEHRAN (IQNA) - Utawala dhalimu wa Israel hatimaye umelazimika kumuachilia huru Maher al Akhras mateka wa Ki palestina ambaye alikabiliana pakubwa na utawala huo.
Habari ID: 3473395    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/26

TEHRAN (IQNA) - Shirika la Afya Duniani (WHO) limetahadharisha kuhusu janga la COVID-19 kusambaratisha mfumo wa afya katika eneo la Palestina la Ghaza, ambalo limezingirwa kinyama na Israel.
Habari ID: 3473389    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/24