Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah
TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amesema kuwa Saudi Arabia na Imarati ni vinara wa kambi ya unafiki.
Habari ID: 3473121 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema, kujiweka mbali Waislamu na Uwalii wa Umma ndio sababu kuu ya matatizo uliyonayo Umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3473048 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/09
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Majeshi ya Yemen amesema majeshi ya nchi hiyo yametekeleza oparesheni maalumu ndani kabisa ya ardhi ya Saudi Arabia.
Habari ID: 3472891 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/23
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amelaani vikali jaribio la baadhi za tawala za Kiarabu kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3472788 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/21
TEHRAN (IQNA) - Majeshi ya Yemen yakishirikiana na kamati za Harakati ya Wananchi ya Answarullah yamefanikiwa kudhibiti eneo la Kufal, ambapo kuna kambi kubwa zaidi ya kijeshi ya muungano vamizi wa Saudi Arabia katika mkoa wa Ma'rib, katikati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472577 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/18
TEHRAN (IQNA) – Jeshi la Yemen lime imetangza kuwa limeshambulia taasisi za shirika kubwa zaidi la mafuta la kusafisha mafuta Saudi Arabia la Aramco katika eneo la Jizan karibu na Bahari ya Sham.
Habari ID: 3472419 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/30
TEHRAN (IQNA) – Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ametahadharisha hujuma ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa, amani haiwezi kurejeshwa nchini humo kupitia nguvu za kijeshi.
Habari ID: 3472193 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/29
TEHRAN (IQNA) – Muungano wa kivita unaoonogzwa na Saudi Arabia umebomoa zaidi ya misikiti 1,024 tangu uanzishe vita dhidi ya Yemen mwaka 2015, amesema afisa wa ngazi za juu wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen.
Habari ID: 3471964 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/19
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Ansarullah ya Yemen imevurumisha kwa mafanikio kombora la Cruz na kulenga Abu-Dhabi mji mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ikiwa ni jibu kwa jinai UAE dhidi ya watu wa Yemen
Habari ID: 3471293 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/03
Harakati ya Ansarullah nchini Yemen imekanusha madai ya Saudia kuwa imeshambulia msikiti wa Makkah.
Habari ID: 3470642 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/30
Abdul-Malik Badreddin al-Houthi
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ndiyo iliyotoa amri ya kushambuliwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470574 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/21
Kiongozi wa Ansarullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema watawala madhalimu wanapanga njama za kudhoofisha umma wa Kiislamu kwa kuuweka mbali na thamani za misingi ya haki.
Habari ID: 3393529 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25
Kiongozi wa Ansarullah Yemen
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema watu wa nchi yake watailinda ardhi yao na hawatatoa muhanga 'heshima' na 'uhuru' mbele ya hujuma zisizo na kikomo za Saudi Arabia.
Habari ID: 3385390 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14
Kiongozi wa Ansarullah
Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen ameashiria hatua ya Saudi Arabia ya kuwazuia mahujaji kutoka Yemen kushiriki katika ibada ya Hija na kusema, ‘Makka si milki ya Aal Saudi iwazuie mahujaji wa Yemen.’
Habari ID: 3365868 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/21
Abdul-Malik al-Houthi
Kiongozi wa harakati ya Ansarullah nchini Yemen Abdul-Malik al-Houthi amesema adui wa wananchi wa Yemen mwishowe atashindwa tu. Aidha ameongeza kuwa utawala haramu wa Israel unafaidika na hujuma ya Saudia dhidi ya watu wa Yemen.
Habari ID: 3338217 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/03
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesikitishwa sana kuhusu kuakhrishwa mkutano wa mazungumzo ya amani Yemen.
Habari ID: 3308524 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/27
Kiongozi wa harakati ya wananchi wa Yemen ya Ansarullah amelaani mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia dhidi ya watu wa nchi hiyo na kusema taifa la Yemen litaendelea kulinda haki zake dhidi ya wavamizi na kamwe halisalimu amri.
Habari ID: 3180156 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/20
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara ya kwanza kabisa tokea yalipoanza mashambulio ya kijeshi ya Saudi Arabia dhidi ya wananchi wa Yemen amesikika akitoa kauli ya kutaka mashambulio hayo ya kijeshi yakomeshwe mara moja.
Habari ID: 3159650 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/17
Watu wasiopungua 137 wameuawa shahidi na wengine karibu 400 kujeruhiwa kufuatia hujuma za mabomu ndani ya misikiti miwili iliyokuwa imejaa waumini wakati wa sala ya Ijumaa katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a.
Habari ID: 3015829 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/20