IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Marekani ilichochea machafuko ya hivi karibuni nchini Iran, na kwamba imefedheheka kwani njama za zimepata kipigo kikubwa cha kimkakati.
Habari ID: 3481834 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/23
IQNA – Maonyesho yenye kichwa “Shahidi wa Qur’ani” yameandaliwa katika mkoa wa al-Hudaydah, Yemen, yakitoa heshima kwa Sayyid Hussein Badreddin al-Houthi, ambaye nchini humo anajulikana kama shahidi wa Qur’ani.
Habari ID: 3481815 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/18
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amewapongeza wananchi wa Iran kwa namna walivyokabiliana na njama zilizopangwa na Marekani pamoja na Israel.
Habari ID: 3481808 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/17
Ansarullah ya Yemen
IQNA – Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa tamko kali kulaani shambulio la kijeshi lililofanywa na Marekani dhidi ya Venezuela, ikilitaja kuwa kitendo cha jinai.
Habari ID: 3481759 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/03
Ansarullah ya Yemen
IQNA – Harakati ya Ansarullah ya Yemen imetoa tamko kali kulaani shambulio la kijeshi lililofanywa na Marekani dhidi ya Venezuela, ikilitaja kuwa kitendo cha jinai.
Habari ID: 3481758 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/03
IQNA-Hatua ya kichokozi ya utawala wa Kizayuni wa Israel kutambua eneo la Somalia la 'Somaliland' kama nchi huuru kunahusishwa na mradi mpana zaidi wa kuchora upya ramani ya ushawishi katika Pembe ya Afrika na Bahari Nyekundu, mradi unaoendeshwa kwa misukumo ya kiusalama kwa ushirikiano wa utawala wa Israel na pia Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
Habari ID: 3481748 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/01
IQNA – Mashirika na taasisi mbalimbali za Kiyemeni yamelaani kitendo cha hivi karibuni cha kudhalilisha Qur’an Tukufu nchini Marekani, na yameunga mkono mwito wa kiongozi wa Ansarullah (Houthi) wa kufanya maandamano ya kulaani kitendo hicho cha kufuru.
Habari ID: 3481683 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/19
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen, Abdul‑Malik al‑Houthi, amelaani vikali ukatili unaofanywa na utawala wa Kizayuni dhidi ya wanawake wa Palestina, akisema maelfu ya wanawake—akiwemo wajawazito, wasichana wadogo na wazee—wameuawa katika maeneo yote yanayokaliwa kwa mabavu.
Habari ID: 3481649 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/12
IQNA-Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, katika hotuba aliyotoa kwa ajili ya kumbukumbu ya mwaka mmoja ya kuuawa shahidi Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa zamani wa Hizbullah ya Lebanon, alisisitiza kuwa njia na mtindo wa shahidi huyu bado unaendelea.
Habari ID: 3481295 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/28
IQNA-Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limesema ndege isiyo na rubani iliyorushwa kutoka Yemen imeshambulia mji wa kusini wa Eilat na kujeruhi watu 22 wakiwemo wawili ambao hali zao ni mahututi. Hayo yanajiri wakati jeshi la kizayuni likiwa lingali linaendeleza vita vyake vya kinyama na mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3481288 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/26
IQNA-Kiongozi wa harakati ya Ansarullah, Sayyid Abdulmalik Badruddin al-Houthi, amesisitiza kuwa watu wa Yemen wanaendelea kufuata mwenendo wa Mtume Muhammad (S.A.W) na mafundisho ya Qur’an Tukufu.
Habari ID: 3481183 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/04
IQNA – Kiongozi wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah nchini Yemen amelaani kuendelea kwa jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya raia wasio na hatia wa Palestina, huku jumuiya ya kimataifa ikikaa kimya bila kuchukua hatua yoyote.
Habari ID: 3480891 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/04
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameuonya utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka usitishe hujuma na jinai zake dhidi ya Ukanda wa Gaza vinginevyo utaendelea kuandamwa na mashambulio.
Habari ID: 3480756 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/29
IQNA-Sayyid Abdul-Malik Badr al-Din al-Houthi, Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen ameeleza kuwa, jamii za Kiarabu na Umma wa Kiislamu zinabeba dhima ya msingi kuhusu mauaji ya kimbari yanayoendelea kutekelezwa na utawala dhalimu wa Israel dhidi ya Wapalestina huko Gaza akisisitiza matokeo mabaya ya kutochukua kwao hatua.
Habari ID: 3480658 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/09
IQNA-Vikosi vya Jeshi la Yemeni vimetangaza shambulio jingine dhidi ya vikosi vya Marekani katika eneo la Bahari ya Shamu, vikitumia makombora na ndege zisizo na rubani ili kuzuia shambulio tarajiwa la Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3480393 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/18
IQNA – Harakati ya Ansarullah ya Yemen imeahidi kujibu uchokozi wa kijeshi wa hivi karibuni wa Marekani, kufuatia mashambulizi ya angani ya Marekani na Uingereza ambayo yalilenga maeneo kadhaa kote nchini, ikiwemo mji mkuu, Sanaa, na jimbo la kaskazini la Saada.
Habari ID: 3480380 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/16
Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen ametoa heshima kwa kamanda mkuu wa zamani wa kupambana na ugaidi wa Iran, shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani, akisema alikuwa na nafasi ya kipekee katika kuwaunga mkono watu wa Palestina na muqawama wao.
Habari ID: 3479997 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/03
Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Harakati za Ansarullah yaYemen amezungumzia uhalifu wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kusisitiza kwamba kile kinachofanywa na adui wa Kizayuni ni mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3479962 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/27
Muqawama
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Muqawama ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa, kitendo cha utawala wa Israel cha kunyakua ardhi zaidi ya Syria wa hivi karibuni baada ya kuangushwa serikali ya nchi hiyo ni sehemu ya mpango wa utawala huo wa Kizayuni unaoitwa 'Israeli Kubwa'.
Habari ID: 3479924 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/20
Jinai
IQNA-Siku moja baada ya vikosi vya ulinzi vya Yemen kushambulia mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel Tel Aviv kwa kombora la 'hypersonic, la Palestina 2 ndege za kivita za Marekani na Uingereza zimeshambulia maeneo kadhaa ya Harakati ya Ansarullah katika mji mkuu wa Yemen, Sana'a
Habari ID: 3479914 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/17