iqna

IQNA

IQNA – Rais wa Nigeria ameielezea Qur'ani Tukufu kama mwongozo kamili kwa wanadamu na chanzo cha nuru, hekima na faraja.
Habari ID: 3480770    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/01

IQNA – Mashindano ya kuhifadhi Qur’ani yalifanyika mjini Damaturu, mji mkuu wa jimbo la Yobe nchini Nigeria, siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3480701    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/18

IQNA – Nigeria inapanga kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu na kushirikisha maqari wa Qur’ani kutoka nchi 20.
Habari ID: 3480632    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/03

IQNA – Shirika la haki za binadamu la Kiislamu nchini Nigeria limekaribisha uamuzi wa hivi karibuni wa gavana wa Jimbo la Jigawa kuruhusu wanawake Waislamu wanaofanya kazi katika kampuni binafsi za usalama kuvaa Hijabu kama sehemu ya sare zao.
Habari ID: 3480567    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/20

IQNA – Baraza Kuu la Mambo ya Kiislamu la Nigeria (NSCIA) limetangaza washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur’anI yaliyofanyika hivi karibuni katika Jimbo la Kebbi.
Habari ID: 3480025    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/10

Mashindano ya Qur'ani Afrika
IQNA – Washindi wa mashindano ya 39 ya kitaifa ya Quran nchini Nigeria walizawadiwa katika sherehe iliyofanyika Jumamosi.
Habari ID: 3479974    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/30

Waislamu Nigeria
IQNA - Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria imeadhimisha mwaka wa 9 tangu mauaji ya Zaria, ikitoa wito wa kufunguliwa mashtaka wahusika wa mashambulizi mabaya dhidi ya Waislamu wa Shia.
Habari ID: 3479907    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/16

Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Toleo la 39 la Mashindano ya Kuhifadhi Qur'ani katika Jimbo la Bauchi la Nigeria lilianza katika mji mkuu wa jimbo hilo siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3479763    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/11/17

Waislamu Nigeria
IQNA - Shule ya Amirul Muminin (AS) huko Abuja, mji mkuu wa Nigeria, imezindua kozi za kuhifadhi Qur'ani kwa wavulana na wasichana.
Habari ID: 3479475    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/23

IQNA - Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, alikutana na mwakilishi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei nchini Iraq.
Habari ID: 3479384    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/04

Nigeria
IQNA - Waislamu wa madhehebu ya Shia walifanya maandamano katika maeneo tofauti ya Nigeria kupinga ukatili wa hivi majuzi wa polisi dhidi ya wanawake na wasichana waliokuwa wanashiriki katika katika hafla za maombolezo ya Siku ya Arbaeen.
Habari ID: 3479370    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/02

Harakati za Qur'ani
IQNA - Usomaji wa hivi karibuni wa qari wa Tarteel wa Qur'ani kwa mtindo wa Sheikh Abdul Basit Abdul Samad umeibua sifa.
Habari ID: 3478789    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/08

Hafidh wa Qur'ani
IQNA - Bodi ya Ustawi wa Mahujaji wa Jimbo la Kano nchini Nigeria imemtunuku zawadi ya tiketi ya Hija kina Ja’afar Yusuf mwenye umri wa miaka 16 kwa sababu ya ujuzi na ustadi wake wa kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3478741    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/27

Waislamu Nigeria
IQNA - Mhubiri mkuu wa Kiislamu katika Jimbo la Oyo, kusini magharibi mwa Nigeria, alisisitiza haja ya serikali kuunga mkono masomo ya Qur'ani Tukufu na Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3478019    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/11

Njama za Wamagharibi
ABUJA (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN) ametahadharisha juu ya njama na majungu yanayopikwa na Marekani na Ufaransa ya kupanda mbegu za chuki, uhasama na mifarakano baina ya Nigeria na jirani yake Niger.
Habari ID: 3477465    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/20

Diplomasia ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Kiislamu kutoka Nigeria wamewasili nchi jirani Niger pamoja ikiwa ni sehemu ya juhudi za kidiplomasia za kurejesha amani katika nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
Habari ID: 3477431    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/13

Matukio
KADUNA (IQNA)- Watu saba walipoteza wakati sehemu ya msikiti uliojaa mamia ya waumini ilipoporomoka katika mji wa kaskazini mwa Nigeria wa Zaria, katika jimbo la Kaduna, na wengine kadhaa kujeruhiwa, maafisa walisema.
Habari ID: 3477424    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/12

INM
TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria (IMN) imekosoa kuendelea marufuku ya kusafiri iliyowekwa kwa kiongozi wake, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3476757    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/25

Hijabu
TEHRAN (IQNA)- Muungano wa Wanawake wa Kiislamu wa Nigeria umetoa wito wa kuondolewa kwa vikwazo na ubaguzi dhidi ya utumiaji wa Hijabu na watumiaji wa Hijabu kitaifa na kimataifa.
Habari ID: 3476511    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/04

Mashindano ya Qur'ani Nigeria
TEHRAN (IQNA) - Washindi wakuu wa mashindano ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Nigeria walitunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika Sokoto.
Habari ID: 3476450    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/23