nigeria - Ukurasa 3

IQNA

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Tume ya Kitaifa ya Hija ya Nigeria (NAHCON) imelazimika kukataa maombi ya kuongeza nafasi zaidi kwa ajili ya Mahujaji mwaka huu ikisisitiza kuwa nafasi zote zimejaa.
Habari ID: 3475424   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/25

Vazi la Hijabu ni haki
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Nigeria wamepongeza hukumu ya mahakama ya kilele ambayo imesema wanafunzi wa kike Waislamu wana haki ya kuvaa vazi la staha la Hijabu katika shule za serikali mjini Lagos.
Habari ID: 3475403   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/20

Ugaidi
TEHRAN (IQNA) Watu zaidi ya 50 wakiwemo wanawake na watoto, wameuawa baada ya genge lenye silaha kushambulia kanisa moja ya kikatoliki kaskazini magharibi mwa Nigeria wakati wa ibada ya Jumapili.
Habari ID: 3475341   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/06

TEHRAN (IQNA) - Washindi wa shindano la 36 la kitaifa la kuhifadhi Qur'ani nchini Nigeria walitunukiwa zawadi katika hafla ya kufunga Jumamosi.
Habari ID: 3475081   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/27

TEHRAN (IQNA)- Babagana Zulum Gavana wa Jimbo la Borno, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria hivi karibuni alionya kuhusu hatari ya kuenea satwa ya kundi la kigaidi la Kiwahhabi la ISIS au Daesh tawi la Afrika Magharibi (ISWAP).
Habari ID: 3474982   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27

TEHRAN (IQNA)- Katiba ya Nigeria inaruhusu wanawake wa Kiislamu kuvaa Hijabu kulingana na mafundisho ya imani yao, waziri wa elimu wa nchi hiyo ya Kiafrika alisema.
Habari ID: 3474903   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/07

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria amewataka walimwengu kujitokeza na kukabiliana na hujuma na mashambulio ya muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya wananchi madhulumu wa Yemen.
Habari ID: 3474896   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/06

TEHRAN (IQNA)- Maafisa tisa wakufunzi wa polisi Nigeria ambao ni wahadhiri wamerejea baada ya kutoweka kufuatia hujuma dhidi ya kambi yao iliyotekelezwa na kundi la igaidi linalofungamana na Daesh au ISIS.
Habari ID: 3474810   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni maarufu wa Nigeria na muasisi wa Taasisi ya Darul Hadith ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 79.
Habari ID: 3474779   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 25 wameuawa kufuatia hujuma ya magaidi wa kundi Boko Haram wanaofungamana na kundi la kigaidi la ISIS Tawi la Afrika Magharibi (ISWAP) katika hujuma dhidi ya kijiji kimoja katika mji wa Askira Uba katika jimbo la Borno Kaskazini mwa Nigeria.
Habari ID: 3474700   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/20

TEHRAN (IQNA)-Waumini tisa wameuawa katika hujuma ya magaidi dhidi ya msikiti nchini Nigeria katika jimbo la Niger.
Habari ID: 3474662   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/10

TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Nigeria wamemtaka wazili wa elimu nchini humo Adamu Adamu aingilie kati kuzuia kusumbuliwa wasicana Waislamu wanaochagua kuvaa Hijabu shuleni.
Habari ID: 3474646   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/06

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky amezungumza kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa sita wa kumbukumbu ya mauaji ya halaiki yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa harakati hiyo.
Habari ID: 3474642   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/05

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wa kundi la ISIS au Daesh wameua askari saba wa Jeshi la Nigeria kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474639   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04

TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Kiislamu katika jimbo la Oyo nchini Nigeria wameapa kupigania haki za wasichana Waislamu kuvaa Hijabu.
Habari ID: 3474591   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23

TEHRAN (IQNA)- Maafisa wa polisi nchini Nigeria wametangaza habari ya kuuawa Waislamu 18 waliokuwa wanasali Msikitini huko kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474476   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/26

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Nigeria limethibitisha habari ya kuangamizwa kinara wa genge la kigaidi la Daeshi au ISIS kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3474427   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/15

TEHRAN (IQNA)-Waislamu katika mji wa Abuja, Nigeria wamepokea chanjo ya COVID-19 nje ya msikiti baada ya Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3474406   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/10

TEHRAN (IQNA)-Tume ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) imelaani vikali hujuma ya askari wa Nigeria dhidi ya matembezi ya amani ya Siku ya Arubaini ya Imam Hussein AS Jumanne katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja.
Habari ID: 3474363   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/30

Polisi Nigeria jana Jumanne iliwashambulia waombolezaji waliokuwa katika marasimu ya siku ya arobaini ya mjukuu wa Mtume wa Uislamu, Imam Hussein AS na kuuwa shahidi Waislamu wasiopungua wanane.
Habari ID: 3474361   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29