nigeria - Ukurasa 7

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Mahakama Kuu ya jimbo la Kaduna nchini Nigeria imetoa hukumu ya kupelekwa Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky na mkewe katika jela kuu ya jimbo la Kaduna kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3472259   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/06

TEHRAN (IQNA) –Harakati ya Kiislamu Nigeria (INM) imesema hatua ya serikali ya nchi hiyo kuendelea kumshikilia Sheikh Ibrahim Zakzaky na mke wake ni ukiukwaji wa wazi wa sharia.
Habari ID: 3472255   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/12/04

Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa hali ya kiafya ya Sheikh Ibrahim Zakzaky ni mbaya kutokana na alimu huyo kuendelea kuwekwa kizuizini kwa muda mrefu sasa.
Habari ID: 3472172   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/15

TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Nigeria limeua Waislamu wasiopungua 12 waliokuwa katika maombolezo ya Siku ya Ashura (tarehe 10 Muharram) wakikumbuka mauaji ya mjukuu wa Mtume Muhammad SAW, Imam Hussein AS.
Habari ID: 3472124   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/09/10

TEHRAN (IQNA) - Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imetangaza kuwa, kiongozi wa harakati hiyo Sheikh Ibrahim Zakzaky amepelekwa mahala kusikojulikana mara baada ya kuwasili Abuja akitokea nchini India.
Habari ID: 3472088   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/18

TEHRAN (IQNA) – Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria(INM) imetangaa imelaani amuzi wa mahakama ya nchi hiyo kuiruhusu serikali kuitangaza harakati hiyo kuwa kundi la ‘kigaidi’.
Habari ID: 3472062   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/29

TEHRAN (IQNA) - Mashinikizo ya Marekani, Utawala wa Kizayuni wa Israel na Saudi Arabia ni chanzo kikuu cha serikali ya Nigeria kuendelea kumshikilia kinyume cha sheria kiongozi wa harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3472050   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/21

TEHRAN (IQNA) - Wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Iran wameandamana kulalamikia kuendelea kushikiliwa kushikiliwa kinyume cha sheria Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3472045   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/15

TEHRAN (IQNA) - Mwana wa Sheikh Ibrahim Zakzaky Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Nigeria ametahadharisha kupitia ujumbe aliotoa kwamba hali ya kimwili ya baba yake ni mbaya sana. Amesema karibu njia zote zimeshindikana kwa ajili ya kunusuru maisha yake.
Habari ID: 3472036   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/09

TEHRAN (IQNA)- Baada ya kupita miaka mitatu na nusu tangu serikali ya Nigeria ianze kumshikilia kinyume cha sheria Mkuu wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky na kuendelea kukaidi amri ya Mahakama Kuu ya kuachiliwa huru mwanachuoni huo, hivi sasa hali ya kiongozi huyo wa Waislamu imezidi kuwa mbaya.
Habari ID: 3472021   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/29

TEHRAN (IQNA) – Nakala ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwa herufi za Kiarabu za Borno imezinduliwa nchini Nigeria.
Habari ID: 3471960   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/05/16

TEHRAN (IQNA)- Mkuu wa Tume ya Kiislamu ya Haki za Binadamu (IHRC) Massoud Shajareh amesema utawala wa Nigeria hauna budi ila kumuachilia huru kiongozi wa harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3471934   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/29

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram mapema leo wameshambulia mji katika eneo la kaskazini mashariki mwa Nigeria na kuwalazimu wakazi kutoroka masaa machache tu kabla ya kuanza upigaji kura katika uchaguzi mkuu.
Habari ID: 3471850   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/23

Taarifa ya Harakati ya Kiislamu Nigeria
TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Nigeria linapanga njama ya kumua kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria (IMN), Sheikh Ibrahim Zakzaky anayeshikiliwa katika kizuizi cha kijeshi.
Habari ID: 3471833   Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/08

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Nigeria wanakumbuka mauaji ya umati yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo dhidi ya wafuasi wa Harakati ya Kiislamu Nigeria katika mji wa Zaria jimboni Kaduna.
Habari ID: 3471770   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/14

TEHRAN (IQNA)- Jeshi la Nigeria limeua shahidi Waislamu 34 waliokuwa wakishiriki katika maadhimisho ya Arobaini ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3471725   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/10/31

TEHRAN (IQNA)-Shirika la haki za binadamu la Amnesty International limelaani hatua ya serikali ya Abuja ya kuwaweka kizuizini kinyume sheria Waislamu hasa wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3471654   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/31

TEHRAN (IQNA)- Wanachuo zaidi ya 200 waliohifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu wamehitimu katika Kituo cha Masomo ya Qur’ani cha Chuo Kikuu cha Bayero cha Jimbo la Kano (BUK).
Habari ID: 3471614   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/31

TEHRAN (IQNA) - Waislamu 8 wameuawa baada ya magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram kuushambulia msikiti na kuua watu wanane mashariki mwa Nigeria wakati wa Sala ya Alfajiri.
Habari ID: 3471605   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/24

TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram wameua askari kumi wa Niger katika hujuma kusini mashariki mwa nchi, karibu na mpaka na Nigeria.
Habari ID: 3471580   Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/02