iqna

IQNA

Warsha ya kuhusu kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS imefanyika Bauchi nchini Nigeria.
Habari ID: 3454535    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/19

Hujuma mbili za kigaidi zilizolenga misikiti kaskazini mashariki mwa Nigeria zimepelekea watu wasiopungua 55 waliuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa.
Habari ID: 3393551    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/25

Wananchi wengi wa Kaduna nchini Nigeria wanaendelea kujitokeza kwa wingi katika maombolezo ya mashahidi wa Karbala.
Habari ID: 3392936    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/23

Hujaji M nigeria ametunukiwa zawadi baada ya kurejesha takribani US$ 2,345 alizozipata katika mfuko wa Muafghani uliokuwa ummeanguka Katika Masjidul Haram mjini Makka.
Habari ID: 3379333    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/04

UNICEF
Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa idadi ya watoto waliolazimika kuyahama makaazi yao kutokana na mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram ndani ya Nigeria na katika nchi jirani imefikia milioni moja na laki nne
Habari ID: 3365086    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/19

Maonyesho ya Sanaa za Kiislamu yenye anuani ya 'Mbegu ya Amani' yanafanyia Lagos nchini Nigeria katika Jumba la Makumbusho ya Kitaifa.
Habari ID: 3357526    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/02

Magaidi wa Boko Haram hawawezi hata kusoma Qur'ani Tukufu wala kutekeleza maundisho ya dini ambayo wanadai kupigania wanapotekeleza jinai zao, amesema afisa mwandamizi wa jeshi la Nigeria.
Habari ID: 3355686    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/31

Waislamu wasiopungua 108,000 walipoteza maisha kutokana na maafa na vita katika nchi za Kiislamu na nchi ambazo Waislamu ni wachache kote duniani mwaka 2014.
Habari ID: 3345845    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/18

Kasisi mmoja nchini Nigeria ametamka shahada mbili na kuwa mfuasi wa dini Tukufu ya Kiislamu na baada ya hapo akaligeuza kanisa lake kuwa msikiti.
Habari ID: 3339749    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07

Taasisi ya juu zaidi ya Waislamu Nigeria, Jama'atu Nasril Islam, JNI, imetangaza kupinga vikali takwa la kupigwa marufuku hijabu nchini humo baada ya baadhi ya magaidi kutumia vazi hilo la stara la kufunika mabomu wanayosheheni mwilini.
Habari ID: 3328801    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/16

Zaidi ya Waislamu 150 wameuawa katika mashambulio ya kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria.
Habari ID: 3322598    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/03

Katika jitihada za kueneza mafundisho halisi ya Kiislamu, jumuiya moja ya Kiislamu nchini Nigeria imeanzisha stesheni mpya za televisheni na radio katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
Habari ID: 3313357    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/12

Idadi ya watu waliopoteza maisha katika shambulio la kujilipua mjini Maiduguri, kaskazini mashariki mwa Nigeria imeongezeka na kufikia 60.
Habari ID: 3310844    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/03

Waislamu 26 wamepoteza maisha baada ya magaidi wa kundi la kitakfiri la Boko Haram kulipua bomu ndani ya msikiti mmoja katika mji wa Maiduguri kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3309578    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/31

Hafidh wa Qur'ani kutoka Nigeria
'Nyumba yangu ni Madrassah ya Qur'ani na tokea utotoni nimekuwa nikijifunza Qur'ani na nilianza kuihifadhi nikiwa na umri wa miaka 14' anasema Hafidh wa Qur'ani kutoka nchini Nigeria.
Habari ID: 3306135    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21

Rais mteule wa Nigeria Muhammadu Buhari
Rais mteule wa Nigeria amesema kuwa, hakuna dini yoyote ile inayounga mkono jinai zinazofanywa na kundi la kitakfiri la Boko Haram.
Habari ID: 3233862    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/04/30

Kinara wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Boko Haram nchini Nigeria, ametangaza muungano wa kundi hilo na kundi la kigaidi na kitakifiri la Daesh (ISIL).
Habari ID: 2955481    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/09

Magaidi wa kitakfiri wa kundi la Boko Haram nchini Nigeria wamewaua kwa umati wakaazi wa mji wa Gwoza waliokuwa wamekusanyika kusoma Qur'ani Tukufu kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 2944655    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/08

Kundi la wanamgambo wa kitakfiri la Boko Haram lenye makao yake nchini Nigeria hivi sasa linaiga mbinu sawa na zile zinazotumiwa na kundi la kigaidi na kitakifiri la Daesh (ISIL) nchini Syria.
Habari ID: 2930964    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/05

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki-moon, amelaani vikali shambulizi la kigaidi kwenye Msikiti Mkuu wa Kano, Nigeria jana Ijumaa, ambalo limeripotiwa kupelekeka kuuawa watu zaidi ya 120 na kuwajeruhi wanaokisiwa kuwa mamia ya wengine.
Habari ID: 2613079    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/29