iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Watoto wa shule moja ya Kiislamu wametkewa nyara na watu wasuojulikana ambao walishambulia shule yao katikati mwa Nigeria.
Habari ID: 3473964    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31

TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Nigeria jana Ijumaa walijitokeza kwa wingi katika matembezi ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika miji mikubwa ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Habari ID: 3473889    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/08

TEHRAN (IQNA)- Rais Muhamadu Buhari huhudhuria darsa za tafsiri ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473837    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/21

TEHRAN (IQNA) – Maandamano yamefanyika katika mji mkuu wa Nigeria, ya kutaka kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo, Sheikh Ibrahim Zakzaky aachiliwe huru.
Habari ID: 3473822    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/17

SheikhAdam Ahmad Tsoho
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Nigeria inaogopa misimamo na fikra za Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo na hivyo haina nia ya kumuachilia huru.
Habari ID: 3473772    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/30

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres amelaani utekaji nyara wa wanafunzi zaidi ya 300 katika jimbo la Zamfara kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3473690    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/28

TEHRAN (IQNA) – Benki moja ya Kiislamu nchini Nigeria imezindua mpango wa kuwahimiza Waislamu kuweka akiba ya fedha za kutumika kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija ambayo ni katika nguzo za Uislamu.
Habari ID: 3473677    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/23

TEHRAN (IQNA) Wanawake Waislamu nchini Nigeria wamemtaka rais wa nchi hiyo Muhammadu Buhari na magavana wa majimbo watunge sheria za kuwaadhibu wale wanaowabagua wanawake Waislamu kwa sababu tu wamevaa Hijabu.
Habari ID: 3473624    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/05

TEHRAN (IQNA) – Mahakama ya Nigeria imeakhirisha tena hadi Machi 10 kesi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini iliyoanza kusikilizwa wiki hii bila ya yeye kuweko mahakamani.
Habari ID: 3473595    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/27

TEHRAN (IQNA) Polisi nchini Nigeria wamehujumu maandamano ya amani ya wananchi ya kupinga kusikilizwa kesi ya Sheikh Iibrahim Zakzaky, Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3473592    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/26

TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Nigeria imetakiwa imuachilie huru Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya mke wake, Malama Zeenat, kuambukizwa corona au COVID-19 akiwa anashikiliwa jela.
Habari ID: 3473583    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23

TEHRAN (IQNA) -Msomi wa Kiislamu aliyeongoza mkakati dhidi ya misimamo mikali ya kidini, Sheikh Ahmed Lemu, ameaga dunia leo Alkhamisi akiwa na umri wa miaka 90.
Habari ID: 3473486    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/24

TEHRAN (IQNA) – Wanafunzi 80 wa Qur'ani Tukufu ambao walikuwa wametekwa kaskazini mashariki mwa Nigeria wamenusuriwa.
Habari ID: 3473476    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/21

TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa kundi la Boko Haram wamedai kuhusika na utekaji nyara wa zaidi ya wanafunzi zaidi ya 300 katika shule moja ya upili Ijumaa iliyopita jimbo la Katsina kaskazini magharibi mwa Nigeria.
Habari ID: 3473462    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/16

TEHRAN (IQNA) - Mamia ya wanafunzi wanahofiwa kutekwa nyara katika jimbo la Katsina nchini Nigeria baada ya shule moja ya sekondari ya wavulana kuvamiwa na watu wenye silaha.
Habari ID: 3473451    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/13

TEHRAN (IQNA)- Leo Waislamu wa Nigeria wanakumbuka mauaji yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria.
Habari ID: 3473449    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/12

TEHRAN (IQNA) - Ofisi ya Sheikh Ibrahim Zakzaky, kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imelaani mauaji ya raia wasio na hatia wa nchi hiyo yaliyofanywa na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Boko Haram.
Habari ID: 3473422    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/04

TEHRAN (IQNA) - Wananchi wa Nigera jana Jumanne waliendeleza maandamano yao katika mji mkuu wa nchi hiyo, Abuja, kushinikiza kuachiliwa huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3473391    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/25

TEHRAN (IQNA) – Mamia ya Waislamu wa Nigeria wameandamana Abuja wakitaka serikali imuachilie huru Kiongozi wa Haraakti ya Kiislamu, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3473239    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/07

TEHRAN (IQNA)- Benki ya Jaiz Plc ya Nigeria imetajwa kuwa benki ya Kiislamu iliyoimarika zaidi duniani mwaka 2020.
Habari ID: 3473193    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/22