TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Al Azhar nchini Misri imetangaza kukamilika tarjuma mpya ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiswahili.
Habari ID: 3471453 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/04
TEHRAN (IQNA)- Maandamano ya Siku ya Ardhi yalifanyika leo kwa siku ya nne mfululizo huko katika Ukanda wa Gaza na kushambuliwa tena na askari wa utawala ghasibu wa Israel.
Habari ID: 3471451 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/02
TEHRAN (IQNA)-Mtoto mwenye ulemavu wa machi Misri amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamlifu kwa lugha asi ya Kiarabuna pia kwa lugha za Kiingereza na Kifaransa.
Habari ID: 3471450 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/01
TEHRAN (IQNA)-Washindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Misri wametangazwa ambapo ambapo Ustadh Haitham Sagar kutoka Kenya ameibuka wa pili katika kitengo cha kuhifadhi Qur'ani kwa wale ambao Kiarabu si lugha yao ya asili.
Habari ID: 3471449 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/31
TEHRAN (IQNA)-Uturuki imewatunuku Waislamu wa kusini mwa Uhispania nakala 3,000 za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471448 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/30
TEHRAN (IQNA)- Mhadhiri wa Uislamu kutoka India amesema Qur'ani Tukufu ni muongozo kamili kwa wanadamu wa zama zote.
Habari ID: 3471447 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/29
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Kuwait yanatazamiwa kuanza katika nchi hiyo ya Ghuba ya Uajemi mnamo Aprili 10.
Habari ID: 3471446 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/28
TEHRAN (IQNA)- Nusu Fainali ya Mashindano ya Sita ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanafunzi wa Vyuo Vikuu imemalizika.
Habari ID: 3471445 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/27
TEHRAN (IQNA) – Misikiti mitatu ilihujumiwa katika maeneo tafauti ya Ujerumani siku ya Jumapili katika kile kinachoonekana na kuongezeka hisia za kuuchukuia Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471444 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/26
TEHRAN (IQNA)-Baraza la Kimataifa la Wahudumu wa Qur'ani Tukufu limeasisiwa nchini Misri katika kikao kilichohudhuriwa na wataalamu na wanaharakati wa Qur'ani.
Habari ID: 3471443 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/25
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 25 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yameanza leo asubuhi mjini Cairo ambapo yanahudhuriwa na wawakilishi wa nchi 50.
Habari ID: 3471442 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/24
TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm, umehujumiwa na kuandikwa maandishi na nembo za kibaguzi siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3471441 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/23
TEHRAN (IQNA)- Moto mkubwa umeteketeza na kuharibu tena Kituo cha Kiislamu cha Eastside katika eneo la Bellevue, jimbo la Washington nchini Marekani, hii ikiwa ni mara ya pili eneo hilo la Waislamu kuteketezwa moto katika kipindi cha mwaka moja.
Habari ID: 3471439 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/22
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, katika miaka iliyopita, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeweza kupeperusha bendera ya izza, heshima na uwezo wa kitaifa katika eneo la Asia Magharibi na imekuwa na nafasi muhimu mno katika kuwasambaratisha wakufurishaji na kuleta amani na usalama.
Habari ID: 3471438 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/21
TEHRAN (IQNA)- Nakala nadra ya na yake ya Qur’ani Tukufu iliyoandikwa karne 9 zilizopita imepatikana nchini Tunisia.
Habari ID: 3471435 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/19
TEHRAN (IQNA)- Tume wa Majeshi ya Kifederali Ujerumani, imetaka Maimamu waajiriwe katika jeshi la nchi hiyo ili kuwahudumia wanajeshi Waislamu.
Habari ID: 3471434 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/18
TEHRAN (IQNA) – Katika nchi za Kiislamu kwa kawaida huwa huwa hakuna tatizo kupata chakula au bidhaa halali.
Habari ID: 3471432 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/18
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu, OIC, Yousef bin Ahmad al-Othaimeen amekutana na Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis na kumshukuru kwa msimamo wake kuhusu Waislamu Warohingya na suala la uhamiaji.
Habari ID: 3471431 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/17
TEHRAN (IQNA)- Njama ya watu wenye misimamo mikali ya kinazi ya kuushambulia kwa bomu msikiti Scotland nchini Uingereza imetibuliwa na mshukiwa kukamatwa.
Habari ID: 3471430 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/16
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya magaidi 19,000 wa ISIS (Daesh) wameuawa Iraq katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita, amesema mkuu wa polisi nchini humo.
Habari ID: 3471429 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/15