TEHRAN (IQNA)-Kitengo cha wanawake katika Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Irna kimefunguliwa Jumamosi.
Habari ID: 3471476 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/22
TEHRAN (IQNA)- Washiriki 24 katika kategoria za kuhifadhi na kusoma Qur'ani Tukufu wameshindano katika siku ya kwanza ya Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471474 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/21
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya usomaji Qur'ani Tukufu maalumu kwa wanafunzi wa shule yamefanyika katika mji mdogo wa Glostrup ulio karibu na mji mkuu wa Denmark, Copenhagen.
Habari ID: 3471473 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/20
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya Kimataifa ya 35 ya Qur'ani Tukufu yamefunguliwa rasmi leo Alhamisi mjini Tehran yakiwashirikisha wawakilishi wa nchi 84 kutoka maeneo yote ya dunia.
Habari ID: 3471472 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/19
TEHRAN (IQNA)- Kanali ya Televisheni ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itarusha mubashara au moja kwa moja Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur'ani yanayoanza Alhamisi hii mjini Tehran.
Habari ID: 3471471 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/19
TEHRAN (IQNA) - Baraza la Mahusiano ya Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limetangaza ripoti ambayo ina ushahidi unaoonyesha kuwa hatua ya utawala wa Rais Donald Trump kupiga marufuku Waislamu kutoka baadhi ya nchi kuingia nchini humo ni jambo ambalo limechangia kuongezeka chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471470 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/18
TEHRAN (IQNA)-Mkuu wa Shirika la Wakfu la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema miji mitatu nchini itakuwa mwenyeji wa mashindano kadhaa ya kimataifa ya Qur'ani.
Habari ID: 3471468 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/17
TEHRAN (IQNA)-Wanaharakati katika maeneo mbali mbali duniani Jumapili wameshiriki katika maandamano ya kutangaza kufungamana kwao na Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anashikiliwa kinyume cha sheria nchini humo.
Habari ID: 3471467 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/16
TEHRAN (IQNA)-Jamii ya Waislamu inazidi kuongezeka huko Hong Kongo, eneo lenye mamlaka ya kujitawala nchini China, na kwa msingi huyo kumeanzishwa jitihada za kujenga msikiti mpya ambao ujenzi wake umekwama kwa muongo moja sasa.
Habari ID: 3471466 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/15
Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameyataja mashambulizi yaliofanywa alfajiri ya leo na nchi za Marekani, Uingereza na Ufaransa dhidi ya Syria kuwa ni jinai na uhalifu na kusema kuwa: Marais wa Marekani na Ufaransa na Waziri Mkuu wa Uingereza ni wahalifu waliotenda jinai.
Habari ID: 3471465 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/14
TEHRAN (IQNA)- Leo, tarehe 27 Rajab ndiyo siku aliyobaathiwa na kupewa Utume Muhammad Al Mustafa SAW kwa ajili ya kuwaongoza wanadamu katika njia iliyonyooka ya Uislamu.
Habari ID: 3471464 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/14
TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Syria limeukomboa mji wa Douma; mji wa mwisho huko Ghouta ya Mashariki kuwa chini ya udhibiti wa magaidi wanaopata himaya ya kigeni
Habari ID: 3471463 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/13
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 9 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Kuwait, maarufu kama Zawadi ya Kuwait, yalianza Jumanne katika mji mkuu wa nchi hiyo.
Habari ID: 3471462 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/12
TEHRAN (IQNA)- Wanaharakati wa Akademia katika Harakati ya Kiislamu ya Nigeria Jumanne wameandamana wakitaka serikali imiachilie kiongozi wao aliye kizuzizini Sheikh Ibrahim Zakzaky huku aachiliwe huru mara moja.
Habari ID: 3471461 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/11
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa kwanza kujengwa katika eneo la Outer Hebrides huko Scotland nchini Uingereza utafunguliwa katika kipindi cha miezi michahce ijayo hata baada ya Kanisa la Presbyterian kupinga vikali ujenzi huo.
Habari ID: 3471460 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/10
TEHRAN (IQNA)-Chama cha Barisan Nasional nchini Malaysia kimetangaza mpango wa kujenga Chuo Kikuu cha Qur'ani nchini humo ambapo watakaohitimu hapo watakuwa wamehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu na pia watakuwa wamepata utaalamu katika taaluma nyinginezo.
Habari ID: 3471459 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/09
Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri
TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Darul Iftaa ya Misri, ambayo hutoa muongozo wa Kiislamu nchini humo, imetangaza kuwa mchezo maarufu wa video wa ‘Blue Whale’ ni haramu katika Uislamu baada ya kubainika kuwa watu kadhaa walioucheza wameishia kujitoa uhai.
Habari ID: 3471458 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/08
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Jimbo la Texas nchini Marekani imetangaza zawadi ya $5000 kwa yeyote atakayetoa taarifa zitakazopelekea kukamatwa mtu ambaye alimdunga kisu mwanamke Mwislamu katika mji wa Houston.
Habari ID: 3471457 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/07
TEHRAN (IQNA)-Nchi 23 zimetangaza azma ya kushiriki katika Mashindano ya 35 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3471455 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/06
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametilia mkazo msimamo wa daima wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kuiunga mkono kikamilifu Palestina na wapiga jihadi wake na kusema kuwa, tiba ya kadhia ya Palestina ni kuimarisha mrengo wa mapambano na muqawama katika Ulimwengu wa Kiislamu na kuzidisha mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel na waungaji mkono wake.
Habari ID: 3471454 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/04/05