TEHRAN (IQNA)- Mmarekani Ahmad Burhan ametangazwa mshindani wa Mashindano ya 22 ya Kuhifadhi Qur’ani ya Dubai.
Habari ID: 3471545 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/06
TEHRAN (IQNA)-Tarehe 23 Ramadhani takribani miaka 1399 iliyopita Ali bin Abi Talib AS Khalifa wa baada ya Mtume Muhammad SAW na mmoja wa watu wa Nyumba Tukufu ya Bwana Mtume alikufa shahidi.
Habari ID: 3471544 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/05
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesema kuwa ndoto waliyo nayo maadui kuhusu mapatano ya nyuklia ya Iran yanayojulikana kama JCPOA kamwe haitotimia.
Habari ID: 3471543 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/04
TEHRAN (IQNA)- Mshindi katika Mashindano ya Kuhifadhi Qur'ani ya eneo la Somaliland nchini Somalia ametunukiwa zawadi ya gari.
Habari ID: 3471542 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/03
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa Mashindano ya 15 ya Qur'ani Tukufu ya Lagos nchini Nigeria wametunukiwa zawadi huku Waislamu nchini humo wakitahadahrishwa kuhusu athari mbaya za mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3471541 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/03
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Ujerumani wameituhumu serikali ya jimbo la Bavaria kuwa ina sera za undumakuwili baada ya kuamuru idara zote za umma kuweka misalaba katika maeneo maalumu.
Habari ID: 3471540 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/02
TEHRAN (IQNA) - Mahakama ya utawala wa kidikteta wa Aal Khalifa imetoa hukumu ya kifungo cha maisha jela kwa raia sita wa Bahrain kwa kisingizio cha kushiriki kwenye machafuko yaliyotokea nchini humo.
Habari ID: 3471539 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/01
TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya kusoma na kuhifadhi Qur'ani nchini Sierra Leonne wametunukiwa zawadi katika sherehe iliyofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha Iran katika mji mkuu wa nchi hiyo, Freetown
Habari ID: 3471538 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/31
TEHRAN (IQNA) – Kutokana na Waislamu kuswali mara tano kwa siku katika sala za jamaa misikitini, suala la usafi na unadhifu ni muhimu sana na limetiliwa mkazo katika mfundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3471537 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/30
TEHRAN (IQNA)- Ustadh Twahir Ali Alwi kutoka Kenya ameibuka mashindi wa Mashindano ya Kimataifa ya Kuhifadhi Qur'ani ya Zanzibar.
Habari ID: 3471536 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/29
TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya Kimataifa ya 19 ya Kuhifadhi Qur'ani ya Tazania yamefanyija Jumapili katika mji mkuu wa nchi hiyo Dar-es-Salaam.
Habari ID: 3471535 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/28
TEHRAN (IQNA)- Kitengo cha kimataifa cha Maonyesho ya 26 ya Qur'ani Tukufu ya Tehran kilizinduliwa Jumapili katika siku ya 11 ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471534 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/28
TEHRAN (IQNA)- Waislamu katika maeneo yote duniani wanaendelea na saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani ambapo baadhi ya maeneo muda wa saumu ni masaa 11 na baadhi ya maeneo karibu karibu masaa.
Habari ID: 3471533 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/27
TEHRAN (IQNA)- Duru ya 7 ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani maalumu kwa walemavu yamepangwa kufanyika Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuanzia Mei 27-31.
Habari ID: 3471532 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/26
TEHRAN (IQNA)-Baraza La Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limewasilisha malalamiko mahakamani baada ya kubainika kuwa wafungwa katika jimbo la Alaska wanalishwa nyama ya nguruwe katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3471530 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/25
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania yanatazamiwa kufanyika katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mjini Dar es Salaam.
Habari ID: 3471529 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/24
TEHRAN (IQNA)- Misitiki yote nchini China imetakiwa kupeperusha bendera ya taifa hilo katika maeeneo ya juu na muhimu ya msikiti, Jumuiya ya Kiislamu China imetangaza.
Habari ID: 3471527 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/22
TEHRAN (IQNA)- Pamoja na kuwa atashiriki katika mechi muhimu zaidi ya soka katika maisha yake, yamkini nyota wa Liverpool Mohammad Salah akafunga saumu ya Ramadhani katika siku ya mechi na Real Madrid ya Fainali ya Mabingwa wa Ulaya.
Habari ID: 3471526 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/22
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Uturuki yameanza Jumapili mjini Istanbul.
Habari ID: 3471525 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/21
TEHRAN (IQNA) Mkuu wa Halmasahuri ya Mapatano Uganda (URA) amekanusha taarifa kuhusu kuwepo mpango wa kutoza ushuru nakala za Qur'ani Tukufu na Bibilia.
Habari ID: 3471524 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/05/21