Bi. Sayeeda Hussain Warsi
TEHRAN (IQNA)-Baadhi ya vyombo vya habari vya Uingereza vina mtazamo hasi kuhusu Uislamu na Waislamu na hali hivi sasa ni mbaya zaidi ya ilivyokuwa mwaka 2011, amesema mjumbe Muislamu katika Bunge la Malodi la Uingereza Bi. Sayeeda Hussain Warsi
Habari ID: 3471400 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/22
TEHRAN (IQNA)-Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka mji wa Mombasa nchini Kenya, Ustadh Haitham Sagar Ahmad anasema Qur'ani Tukufu ndio njia pekee ya kutatua matatizo katika maisha ya mwanadamu.
Habari ID: 3471399 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/21
TEHRAN (IQNA)- Kuna mpango wa kutumia 'Misikiti itembeayo' katika michezo ya Olympiki na Paralimpiki mjini Tokyo, Japan mwaka 2020 kwa lengo la kuwasahilishia Waislamu ibada.
Habari ID: 3471398 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/20
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa upinzani Uingereza Jeremy Corbyn ametembelea misikiti kadhaa siku ya Jumapili na kukosoa vikali chuki dhidi ya Uislamu nchini humo.
Habari ID: 3471397 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/19
Mwanachama wa Jihad Islami
TEHRAN (IQNA)-Mwanachama wa ngazi za juu wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina amewataja waliohifadhi Qur'ani Tukufu kuwa wao ni silaha katika kukabiliana na jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471396 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/18
TEHRAN-(IQNA)-Kundi la Kiislamu la GainPeace lenye makao yake katika mji wa Chicago nchini Marekani limezindua kampeni ya mabango yenye kuunga mkono hijabu kama vazi lenye kumpa uwezo mwanamke.
Habari ID: 3471395 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/17
Katika Sala ya Ijumaa Hyderabad, India
TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya umuhimu wa umoja na mshikamano miongoni mwa Waislamu kote duniani, mbele ya utawala wa Kizayuni wa Israel na maadui wengine wa Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3471393 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/16
TEHRAN (IQNA)-Wapalestina wasiopungua 54 walipoteza maisha mwaka 2017 baada ya utawala haramu wa Israel kuwanyima vibali vya kupata matibabu nje ya eneo lililochini ya mzingiro la Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3471392 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/15
TEHRAN (IQNA)-Waliowengi nchini Uingereza wana ufahamu mdogo sana kuhusu Uislamu na kwa msingi huo, zaidi ya misikiti 200 nchini humo itafungua milango yake kwa wasiokuwa Waislamu mnamo Februari 18.
Habari ID: 3471391 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/14
TEHRAN (IQNA)- Idara ya kupamabana na misimamo mikali katika Chuo Kikuu cha Al Azhar cha Misri imesema wafuasi wa kundi la kigaidi la ISIS (Daesh) wanaorejea katika nchi zao wanapaswa kuadhibiwa kwa ajili ya jinai walizotekeleza.
Habari ID: 3471389 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/13
TEHRAN (IQNA)-Taasisi ya Masuala ya Kidini –Diyanet- ya Uturuki (TDV) imetoa zawadi ya nakala 20,000 za Qur'ani Tukufu ziliotarujumiwa kwa Kihispania kwa ajili ya kusambazwa katika nchi za Amerika ya Latini.
Habari ID: 3471388 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/12
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran leo wamejitokeza kwa mamilioni katika katika matembezi ya maadhimisho ya mwaka wa 39 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu huku wakitoa nara dhidi ya utawala wa Kizayuni na Marekani.
Habari ID: 3471387 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/11
TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Syria limetungua ndege moja ya kivita ya utawala haramu wa Israeli aina ya F-16 ambayo ilikuwa imetekekeza hujuma ndani ya ardhi ya Syria mapema leo.
Habari ID: 3471386 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/10
TEHRAN- (IQNA) Serikali ya Senegal imetangaza mpango wa kuanzisha vituo vipya 21 vya Qur'ani tukufu katika mji wa Kaffrine, kati mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3471385 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/09
Amnesty International
TEHRAN (IQNA)-Jeshi la Myanmar lingali linatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya nchini humo kwa kutumia mbinu kadhaa.
Habari ID: 3471384 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/08
TEHRAN (IQNA)-Mufti mkuu wa Libya amelaani vikali namna utawala wa kifalme Saudia unavyowakandamiza wanazuoni wa Kiislamu.
Habari ID: 3471383 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/07
TEHRAN (IQNA)-Mahakama moja nchini Ujerumani imepiga marufuku adhana kwa kutumia vipaza sauti katika msikiti moja kwa madai kuwa eti wasiokuwa Waislamu wanakerwa.
Habari ID: 3471382 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/06
TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Uganda imeidhinisha sheria za mfumo wa benki za Kiislamu huku benki kuu nchini humo ikitazamiwa kuchapisha rasmi sheria hizo kama sehemu ya mikakati ya kuwashirikisha Waislamu kikamilifu katika mfumo wa kifedha.
Habari ID: 3471381 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/05
TEHRAN (IQNA)-Watu wasiojulikana wameuhujumu na kuharibu msikiti katika mji wa The Hague nchini Uholanzi.
Habari ID: 3471380 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/04
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Aal Khalifa nchini Bahrain unaendelea kutekeleza sera za ukandamizaji dhidi ya wapinzani ikiwa ni pamoja na kuwanyonga, kuwatesa, kuwapokonya uraia na kuwalazimui kuihama nchi huku mashirika ya kutetea haki za binadamu yakinaani uovu huo ambao umenyamaziwa kimya na Umoja wa Mataifa na nchi za Magharibi.
Habari ID: 3471379 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/02/03