iqna

IQNA

shirika la habari la qurani
TEHRAN (IQNA)- Wanafunzi wenye majina ya Kiislamu Ufaransa wanabaguliwa wakati wanapowasilisha maombi ya kujiunga na vyuo vikuu nchini humo.
Habari ID: 3474943    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/18

TEHRAN (IQNA)- Bustani ya Belton-Mark Twain mjini Detroit, jimbo la Michigan la Marekani, ina jukumu muhimu katika kusaidia familia za karibu kupata bustani nzuri ya kupumzika.
Habari ID: 3474929    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/14

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imetoa onyo kali kwa utawala haramu wa Israel baada ya walowezi wake wa Kizayuni kuwashambulia tena Wapalestina katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474925    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/13

TEHRAN (IQNA)- Mwanasheria mkuu wa zamani wa utawala wa Kizayuni wa Israel aumeutaja utawala huo kuwa ni "utawala wa kibaguzi au apathaidi".
Habari ID: 3474922    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/12

TEHRAN (IQNA)- Wakuu wa nchi mbalimbali walituma ujumbe wa kuipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
Habari ID: 3474920    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/12

TEHRAN (IQNA)-Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leoi wamejitokeza kwa wingi mitaani katika maadhimisho ya miaka 43 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
Habari ID: 3474915    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/11

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kikao na mabalozi wa nchi za nje hapa mjini Tehran kwa mnasaba wa kukumbuka ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa: "Taifa la Iran limesimama imara katika misingi ya itikadi za mapinduzi yake."
Habari ID: 3474911    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/10

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Nasrallah ameonya kuwa vita vyovyote dhidi ya Iran vitasababisha mlipuko mkubwa katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati).
Habari ID: 3474909    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/09

Msemaji wa Harakati ya Nujabaa
TEHRAN (IQNA) - Msemaji wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya al-Nujabaa ya Iraq alisisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa nchi pekee iliyosimama kidete kukabiliana na Marekani baada ya Vita vya Pili vya Dunia.
Habari ID: 3474908    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/08

TEHRAN (IQNA)- Wapalestina wasiopungua 40,000 wameshiriki katika Sala ya Ijumaa wiki hii katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3474891    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/05

TEHRAN (IQNA) – Sherehe za mwaka wa 43 wa ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu mwaka 1979 zimeanza rasmi kote Iran.
Habari ID: 3474878    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/01

TEHRAN (IQNA)-Wasimamizi wa Mashindano ya 38 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran wametangaza majini ya waliofika katika fainali ya mashindano hayo itakayofanyika mwezi ujao ambapo miongoni mwa waliofuzu ni wawakilishi wa Kenya na Uganda.
Habari ID: 3474877    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/01

TEHRAN (IQNA)- Milipuko kadhaa mikubwa imesikika katika anga ya Umoja wa Falme za Kiarabu punde tu baada ya majeshi ya Yemen kutangaza oparesheni kubwa ya ulipizaji kisasi dhidi ya vituo muhimu vya kiuchumi vya nchi hiyo.
Habari ID: 3474871    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/31

TEHRAN (IQNA)- Ahmed Musa, Kapteni wa Timu ya Soka ya Nigeria ametoa mchango wa dola 1,500 kusaidia katika mradi wa upanuzi wa Msikiti wa Jamia wa Garoua kaskazini mwa Cameroon.
Habari ID: 3474867    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/30

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Jamia Algeria, ambao pia ni maarufu kama Masjid Djamaa el Djazaïr ni msikiti wa tatu kwa ukubwa duniani. Mnara wake wenye urefu wa mita 267 ni moja kati ya minara mirefu zaidi duniani.
Habari ID: 3474864    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29

TEHRAN (IQNA)- Baraza la Kiislamu la Singapore (Muis) limewataka wale ambao bado hawajapata chanjo ya COVID-19 wajizuie kushiriki katika Sala ya Ijumaa kutokana na sababu za kiafya.
Habari ID: 3474863    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29

TEHRAN (IQNA)-Nakala ya majaribio ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwa maandishi ya nukta nundu (braille) katika Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar imezinduliwa katika Maoneysho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3474859    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/28

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Qur'ani Tukufu kinachofungamana na Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS nchini Iraq imezindua applikesheni mpya ya simu za mkononi ambayo inawasaidia wanafunzi kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474856    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26

TEHRAN (IQNA)- Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema serikali yake inalenga kuwa na ushirikiano na dunia nzima lakini akaonya kuwa Iran itakabiliana na madola yanayotaka kukabiliana na nchi hii.
Habari ID: 3474855    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26

TEHRAN (IQNA)- Duru ijayo ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia itafanyika mwezi Septemba mwaka huu.
Habari ID: 3474854    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26