iqna

IQNA

shirika la habari la qurani
Vita dhidi ya Yemen
TEHRAN (IQNA)- Ubalozi wa Marekani katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umetoa onyo la usalama la hali ya juu kwa Wamarekani wanaoishi huko Imarati kufuatia mashambulizi ya makombora ya jeshi la Yemen na wapiganaji wa Ansarullah huko Abu Dhabi.
Habari ID: 3474852    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/25

TEHRAN (IQNA)-Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imetangaza mpango wa kuongeza idadi ya waliohifadhi Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3474848    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/24

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao chake na Waziri wa Mambo ya Nje wa Togo kuwa: Suala la kuimarishwa uhusiano wa Iran na nchi za bara la Afrika litafuatiliwa kwa umakini na nguvu zaidi.
Habari ID: 3474846    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/24

TEHRAN (IQNA)- Kadhia ya chuki dhidi ya Uislamu na kubaguliwa Waislamu katika nchi za Ulaya ikiwemo Uingereza imeshika kasi katika miaka ya hivi karibuni. Chuki hizi dhidi ya Uislamu sasa zimefika hata katika ngazi rasmi za serikali.
Habari ID: 3474845    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/24

TEHRAN (IQNA)- Khitma ya Marehemu Hajj Sheikh Abdullahi Nassir Juma Bhalo, mwanazuoni mashuhuri wa Kiislamu na kiongozi wa kimaanawi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia Afrika Mashariki imefanyika katika Msikiti wa Imam Ja'far Sadiq AS katika Chuo Kikuu cha Al-Bayt AS katika mji mtakatifu wa Qum.
Habari ID: 3474817    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/17

TEHRAN (IQNA)- Duru ya Saba ya Mashindano ya Kimataifa ya Wanafunzi wa Shule itafanyika Iran kwa kushiriki wawakilishi wan chi 25.
Habari ID: 3474808    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/15

TEHRAN (IQNA)- Wafungwa wapatao 608 huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wamefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Habari ID: 3474801    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13

TEHRAN (IQNA)- Umati mkubwa wa Waislamu umeshiriki katika mazishi ya Marhum Sheikh Abdillahi mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu barani Afrika.
Habari ID: 3474799    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/12

TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 10 wameuawa katika hujuma ya kigaidi huko Mogadishu, mji mkuu wa Somalia.
Habari ID: 3474796    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/12

TEHRAN (IQNA) - Makumi ya walowezi wa Kizayuni wameuvamia tena msikiti wa al-Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem) ambapo wameuvunjia heshima msikiti huo ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
Habari ID: 3474794    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/11

Inna Lillah wa Ina Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Abdillahi Nassir Juma Bhalo, msomi maarufu wa Kiislamu barani Afrika na hasa Afrika Mashariki ameaga dunia mapema leo Mombasa, Kenya.
Habari ID: 3474792    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/11

TEHRAN (IQNA)- Duru ya mwisho ya Mashindano ya 26 ya Kitaifa ya Qur’ani Tukufu ya Jeshi la Polisi Iran yatafanyika katika mji wa Mashhad kaskazini mashariki mwa Iran.
Habari ID: 3474785    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/09

Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu imetangaza kuwa, kutimuliwa utawala wa Marekani katika eneo nyeti la Asia Magharibi ni jibu kwa ujuha na ujinga wa adui katika kumuua Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
Habari ID: 3474776    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imepanga mashindano ya qiraa ya Qur’ani Tukufu kwa maqarii watakaotumwa nje ya nchi katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3474774    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/06

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Kenya imeazimia kushirikiana na misikiti pamoja na makanisa nchini humo ili kuongeza idadi ya wale wanaodungwa chanjo ya COVID-19 nchini humo.
Habari ID: 3474765    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/04

TEHRAN (IQNA)- Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Al Azhar wamebainisha wasiwasi wao kuhusu pendekelezo la Bunge la Senate la Misri la kuandikwa 'Tafsiri ya Kisasa' ya Qur'ani.
Habari ID: 3474764    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/04

Afisa wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu Iran
TEHRAN (IQNA)- Naibu Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran katika Masuala ya Kimataifa ameitaja hatua ya Marekani ya kumuua kigaidi Kamanda Qasem Soleimani kuwa ni sawa na mauaji ya haki za binadamu duniani.
Habari ID: 3474757    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/02

TEHRAN (IQNA)-Wapalestina wa Ukanda wa Ghaza wamepamba mitaa yao kwa mabango makubwa ya Shahidi Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
Habari ID: 3474755    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/02

TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Al Rashid huko Edmonton nchini Canada sasa unatumika kama makazi ya usiku kwa watu masikini wasio na nyumba katika kipindi hiki cha msimu wa baridi kali.
Habari ID: 3474751    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Wasomaji Qur'ani Tukufu Misri imeitisha mkutano hivi karibuni ambapo imeamuliwa kuwa wananchama wote wapya wanapaswa kuwa wamehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3474742    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30