iqna

IQNA

shirika la habari la qurani
TEHRAN (IQNA)- Lugha ya Kireno sasa ni lugha ya 21 katika Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA).
Habari ID: 3474737    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/29

TEHRAN (IQNA)- Wafungwa 115 mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu wamepunguziwa adhabu zao kwa miezi sita hadi miaka 20 baada ya kuhifadhi Qur'ani.
Habari ID: 3474734    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukurubisha Madhehebu za Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amesema kuwa, umoja na mshikamano wa Waislamu ndiyo silaha pekee inayoweza kutumiwa kwa ajili ya kupambana na njama zinazofanywa dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3474733    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/28

TEHRAN (IQNA)- Misikiti kote Saudi Arabia imetakiwa kuchukua hatua kali za kuhakikisha kuwa wote wanaoshiriki katika ibada wanatekeleza kanuni za kukabiliana na COVID-19.
Habari ID: 3474717    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/24

TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Kidini katika Bunge la Misri limeanza kujadili pendekezo la kuandika tafsiri mpya ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474707    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/22

TEHRAN (IQNA) - Fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza Jumatatu mjini Tehran.
Habari ID: 3474705    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21

TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanza Jumatatu mjini Tehran.
Habari ID: 3474704    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/21

TEHRAN (IQNA)- Watoto kadhaa wanaougua saratani wamekutana na mwanazuoni wa ngazi za juu wa Mashia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali al Sistani.
Habari ID: 3474679    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)-Ufaransa imeendeleza sera zake dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa kuanzisha mpango wa kufunga msikiti mmoja katika mji wa Beauvais kwa muda wa miezi sita kutokana na kile kilichodaiwa ni hotuba zenye misimamo mikali msikitini hapo.
Habari ID: 3474678    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Rais Abdul Fattah el-Sisi wa Misri ametaka kipaumbele maalumu kipewe kwa tafsiri na ufahamu wa Qur’ani katika mashindano ya kimataifa ya Qur’ani nchini humo.
Habari ID: 3474676    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15

TEHRAN (IQNA)- Polisi nchini Canada imemkamata mtu mmoja Jumatatu baada ya mzoga kutupwa nje ya msikiti katika eneo la Vaudreuil-Dorion hivi karibuni.
Habari ID: 3474674    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Mji wa Quds (Jerusalem) na Palestina amelaani vikali matamshi ya mbunge mmoja nchini Marekani ambaye ametaka Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds uvunjwe.
Habari ID: 3474671    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Jihad Islami ya kupigania ukombozi wa Palestina imelaani vikali kitendo cha viongozi wa Imarati cha kumpokea nchini humo Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel na kueleza kwamba, hiyo ni khiyana na usaliti kwa taifa la Palestina.
Habari ID: 3474670    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/13

TEHRAN (IQNA)- Waalimu 114 wa ngazi za juu wanaofunza kuhifadhi Qur'ani nchini Iran wataenziwa katika mashindano yajayo ya kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3474667    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/12

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera za ujirani mwema na kuwa na uhusiano na majirani ili kusambaratisha vikwazo ni mkakati wa kistratijia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3474666    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/11

TEHRAN (IQNA)-Waumini tisa wameuawa katika hujuma ya magaidi dhidi ya msikiti nchini Nigeria katika jimbo la Niger.
Habari ID: 3474662    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/10

TEHRAN (IQNA)-Klipu ya qarii maarufu wa Lebanon Ustadh Hamza Mon’em akisema baadhi ya aya za Sura Aal Imran katika Qur'ani Tukufu imesambaa katika mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3474653    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/08

TEHRAN (IQNA)- Chuo cha Kiislamu cha Al Azhar kimefanya kikao cha mazungumzo ya kidini na Makao ya Kanisa Katoliki Duniani, Vatican na Kanisa la Orthodox la Koptiki.
Habari ID: 3474645    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/06

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria, Sheikh Ibrahim Zakzaky amezungumza kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa sita wa kumbukumbu ya mauaji ya halaiki yaliyotekelezwa na jeshi la nchi hiyo katika mji wa Zaria jimboni Kaduna, dhidi ya wanachama wa harakati hiyo.
Habari ID: 3474642    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/05

TEHRAN (IQNA)- Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena limetaka kuondoka kikamilifu utawala ghasibu wa Israel katika Miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.
Habari ID: 3474630    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/02