iqna

IQNA

ndege
Kususia Israel
TEHRAN(IQNA)- Oman imekataa kuidhinisha ndege za utawala wa haramu wa Israel kuruka katika anga yake, ikionekana kujiepusha kufuata nyayo za Saudi Arabia za kujikurubisha wazi wazi na utawala huo haramu.
Habari ID: 3475608    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/11

TEHRAN (IQNA) - Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameeleza masikitiko yake kuhusiana na mkasa wa ndege ya abiria ya Ukraine iliyotunguliwa kimakosa karibu na mji wa Tehran ambapo sambamba na kusema kuwa, yuko pamoja na familia zilizopoteza ndugu zao katika mkasa huo wa kuhuzunisha ametoa amri ya kufanyika uchunguzi kuhusiana na uwezekano wa kufanyika uzembe na wahusika kuchukuliwa hatua.
Habari ID: 3472362    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/11

Rais Rouhani wa Iran
TEHRAN (IQNA) - Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kosa la kibinadamu lililotokana na vitisho vya Marekani vya kushambulia maeneo nyeti nchini Iran ndiyo sababu ya kuanguka ndege ya abiria ya Ukraine karibu na Tehran.
Habari ID: 3472361    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/01/11

IQNA-Waislamu wawili wametimuliwa kutoka ndege ya shirika moja la Marekani mjini London baada ya wasafiri kadhaa Waingiereza kulalamika kuwa walimsikia mmoja wao akizungumza kwa lugha ya Kiarabu kwa simu.
Habari ID: 3470753    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/22

Nakala ya Qur’ani Tukufu iliyofunikwa kwa plastiki imepatikana katika viswa vya Reunion Bahari ya Hindi na inaaminika kuwa inafungamana na mabaki ya ndege ya Malaysia iliyotoweka mwaka jana.
Habari ID: 3340026    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/08

Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah
Abdulmalik Houthi Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah nchini Yemen amesema Saudia imegueka na kuwa chombo cha Israel katika hujuma dhidi ya Wayemen.
Habari ID: 3326612    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11

Ndege za kivita za Saudi Arabia zimeendelea hujuma zake za kikatili nchini Yemen na mara hii zimehujumu kwa mabomu msikiti wa kihistoria ujulikanao kama Masjid Imam Hadi AS katika mkoa wa Sa'ada kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3276823    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/09

Wapalestina wawili wameuawa shahidi na wengine wanne wamejeruhiwa katika mashambulizi ya leo asubuhi ya utawala wa Kizayuni huko Ghaza.
Habari ID: 1437512    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/09