IQNA-Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, katika mkutano na maafisa wa Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani, Vatican huko mjini Rome, ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa kukomesha uhalifu unaoendelea kutendwa na utawala katili wa Israel huku Gaza, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inafika katika eneo hilo lililozingirwa.
Habari ID: 3480732 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/24
IQNA-Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu wa Iran ametuma salamu za pongezi kwa mkuu mpya wa Kanisa Katoliki, akihimiza mazungumzo yenye tija na ushirikiano baina ya dini, huku akitoa akimuenzi Papa Francis aliyeaga dunia hivi karibuni.
Habari ID: 3480703 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/19
IQNA-Kardinali Robert Prevost ametangazwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki. Yeye ndiye Papa wa kwanza kutoka Marekani na kuchukua jina la papa Leo XIV.
Habari ID: 3480657 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/09
Dini
IQNA - Indonesia inapanga kuzindua njia ya chini ya ardhi ya urafiki inayounganisha kanisa na msikiti mashuhuri huko Jakarta mwezi ujao, kabla ya ziara ya Papa Francis katika nchi hiyo yenye Waislamu wengi.
Habari ID: 3479190 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/27
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameitaka Mynmar iheshimu haki za jamii ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
Habari ID: 3471145 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/28
Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani, Papa Francis ametoa wito kwa viongozi wa dini mbalimbali nchini Kenya kuzidisha ushirikiano na urafiki miongoni mwao ili kuepusha fitina za kidini na kimadhehebu.
Habari ID: 3457358 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/26