iqna

IQNA

afghansitan
Ta'azia
IQNA - Qari Barakatullah Saleem, msomaji na mwanazuoni mashuhuri wa Qur'ani Tukufu wa Afghanistan, alifariki siku ya Jumamosi mjini Kabul baada ya kuugua, familia yake ilithibitisha.
Habari ID: 3478263    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/28

Ugaidi
TEHRAN (IQNA) - Katika ujumbe wake, Kituo cha Kiislamu cha Al-Azhar kimelaani shambulio la kigaidi dhidi ya waumini katika msikiti mmoja ulioko katika mji wa Herat nchini Afghanistan na kulitaja kuwa ni kinyume na maadili ya kidini na kibinadamu.
Habari ID: 3475743    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/06

TEHRAN (IQNA)- Umoja wa Mataifa umelaani mlipuko wa kigaidi uliotokea karibuni katika msikiti wa Waislamu wa Kishia huko Mazar-Sharif katika mkoa wa Balkh, Afghanistan.
Habari ID: 3475155    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/22

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya kigaidi dhidi ya shule kadhaa katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul sambamba na kutuma salamu za rambirambi kwa familia za waliopoteza maisha.
Habari ID: 3475146    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/20

TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Taliban nchini Afghanistan umetangaza habari ya kuuvunja mtandao wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) katika eneo la kaskazini mwa mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul.
Habari ID: 3474383    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/05

TEHRAN (IQNA)- Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa wito kwa pande zote katika vita nchini Afganistan kusitisha vita na mauaji ya ndugu kwa ndugu sambamba na kufanya mazungumzo ya kutatua mgogoro uliopo huku ikitangaza kuwa tayari kuwa mwenyeji wa mazungumzo hayo.
Habari ID: 3474171    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/08

TEHRAN (IQNA)- Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wazayuni makatili na wauaji hawana uhusiano na dini yoyote ile.
Habari ID: 3473903    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha masikitiko yake makubwa kutokana na kuuawa watu wasio na hatia katika hujuma za hivi karibuni za kigaidi nchini Afganistan na kusema: "Lengo la Marekani katika kuhamishia Afghanistan magaidi wa ISIS (Daesh) ni kuhalalisha uwepo wake katika eneo sambamba na kudhamini usalama wa utawala wa Kizayuni."
Habari ID: 3471376    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/30