TEHRAN (IQNA)- Utawala haramu wa Israel umempkonya Riyadh al-Maliki, Waziri wa Mambo ya Nje wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina kibali maalumu kinachotumiwa na viongozi mashuhuru wa Palestina kuvuka mpakani, alipokuwa akirejea katika Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan baada ya kufanya kikao na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC iliyo na makao makuu yake mjini The Hague Uholanzi.
Habari ID: 3473753 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/22
TEHRAN (IQNA) - Mayahudi wengine 300 wa Ethiopia ambao ni maarufu kwa jina la Mafalasha wamehamia katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina ambazo zimepewa jina bandia la Israel.
Habari ID: 3473730 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/12
TEHRAN (IQNA)- Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3473722 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/10
TEHRAN (IQNA)- Mwendesha Mashtaka wa Makakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) amesema kuwa mahakama hiyo imeanza uchunguzi kuhusu jinai za kivita zilizofanywa na Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3473702 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/04
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu (IUMS) imetoa wito wa kuadhimishwa ‘Wiki ya Kimataifa ya Quds (Jerusalem)’ kwa lengo la kuunga mkono harakati za ukombozi wa Palestina.
Habari ID: 3473699 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/03
TEHRAN (IQNA)- Mufti Mkuu wa Misri ametadharisha juu ya njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuuyahudisha mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, na kufuta kabisa utambulisho wake halisi.
Habari ID: 3473687 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/27
TEHRAN (IQNA) – Kadhia ya Sudan kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel inapaswa kujadiliwa upya baada ya mabadiliko katika baraza la mawaziri, amesema mwanachama wa Baraza la Serikali ya Mpito.
Habari ID: 3473665 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/19
TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel na kuutaka kutocheza na moto huku akisisitiza kuwa hujuma yoyote ile ya Israel dhidi ya Lebanon itakabiliwa na jibu kali kutoka Hizbullah.
Habari ID: 3473657 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/17
TEHRAN (IQNA) Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, imelaani kitendo cha utawala haramu wa Israel kuzuia dozi 2,000 za chanjo ya Corona kuwafikia wafanyakazi wa sekta ya afya katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3473654 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/16
TEHRAN (IQNA) – Uamuzi wa hivi karibuni wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) wa kuchunguza jinai za Israel dhidi ya Wapalestina umeungwa mkono na Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) na chuo cha Kiislamu cha Al-Azhar nchini Misri.
Habari ID: 3473631 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/08
TEHRAN (IQNA)- Kumekuwa na hisia mseto baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC kutoa hukumu kwa manufaa ya ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni.
Habari ID: 3473626 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/06
TEHRAN (IQNA) – Askari wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewashambulia Wapalestina waliokuwa wakiandamana katika kijiji cha Beit Dajan katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kupinga ujenzi wa vitongoji haramu vya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3473625 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/06
TEHRAN (IQNA) - Sheikh Mohammad Hussein, Mufti Mkuu wa Quds (Jerusalem) ameulaani vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuzuia ukarabati wa Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3473597 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/28
TEHRAN (IQNA) – Wapalestina wameandaman katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan kupinga hatua ya utawala haramu wa Israel kuendelea kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni.
Habari ID: 3473585 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/23
TEHRAN (IQNA)- Gazeti moja la Kiebrania limeripoti kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel umetoa sharti kwa Uturuki la kuifunga ofisi ya HAMAS mjini Istanbul ili kuanzisha tena uhusiano kamili na nchi hiyo.
Habari ID: 3473570 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/19
TEHRAN (IQNA) - Wananchi wa Bahrain leo wameandamana kulaani hatua ya ukoo wa Aal Khalifa unaotawala nchi hiyo kuanzisha uhusiano na utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3473560 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/15
TEHRAN (IQNA)- Wataalamu wa Umoja wa Mataifa wamesema utawala wa Israel, kama utawala vamizi unaokali ardhi za Palestina kwa mabavu, unapaswa kuwapa Wapalestina chanjo ya corona.
Habari ID: 3473559 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/15
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel umeongeza maradufu kasi ya kujenga vitongoji vya walowezi wa Kizayuni katika ardhi ulizowapora Wapalestina hatua ambayo itaibua msuguano na serikali mpya ijayo ya Marekani.
Habari ID: 3473545 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/11
TEHRAN (IQNA) - Makumi ya wabunge wa Algeria wameandaa muswada wa sheria inayolenga kuufanya kuwa ni uhalifu uanzishwaji wa uhusiano wowote wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473536 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/08
TEHRAN (IQNA) – Baadhi ya weledi wa mambo wanaamini kuwa kurejeshwa uhusiano wa Saudi Arabia na Qatar ni hatua ya awali katika nchi hizo mbili kuaunzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3473534 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/07