TEHRAN (IQNA) - Waislamu katika nchi mbali mbali duniani wanaendelea kuandamana kulaani vikali kitendo cha kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW na hatua ya Rais Emmanuel Macron kuunga mkono kitendo hicho.
Waandamnaji hao wenye hasira wameteketeza moto bendera za Ufaransa na picha za Macron