IQNA

Waislamu duniani kote waendeleza maandamano ya kulaani kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW

16:35 - November 03, 2020
Habari ID: 3473325
TEHRAN (IQNA) - Wimbi kali la maandamano ya kulaani matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akitetea matusi na kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad SAW Nchini humo limeendelea kushuhudiwa katika pembe mbalimbali za dunia.

Wanaoshiriki katika maandamano hayo aidha wametaka bidhaa za Ufaransa zisusiwe kama njia ya kuwaadhibu watawala wa nchi hiyo wenye chuki dhidi ya Uislam na Waislamu.

 
 
captcha