IQNA-Vikosi vya utawala vamizi wa Israel vimemkamata na kumpiga marufuku Sheikh Najeh Bakirat, kiongozi mashuhuri wa Kiislamu Palestina kuingia katika Msikiti wa Al-Aqsa ulioko jijini Al Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3480246 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/21
Mashindano ya Qur'ani
IQNA - Baada ya shughuli za miezi kadhaa, Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yalifikia tamati katika hafla ya Alhamisi asubuhi.
Habari ID: 3479921 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/19
Quds Tukufu hatarini
IQNA - Wizara ya Wakfu ya Jordan imetahadharisha kuhusu kushadidi hatua za utawala wa Kizayuni zenye lengo la kueneza Uyahudi katika maeneo matakatifu ya Kiislamu na Kikristo katika mji mtakatifu wa al-Quds (Jerusalem).
Habari ID: 3479392 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/07
Nchi za Kiislamu
IQNA - Mkutano wa 9 wa kimataifa wa mawaziri wa Awqaf (wakfu) wa nchi za Kiislamu ulianza katika mji mtakatifu wa Makka, Saudi Arabia, Jumapili.
Habari ID: 3479227 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/04
IQNA - Shirika la Wakfu na Masuala Iran limeongeza muda wa mwisho wa kusajiliwa kwa Mashindano ya 47 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu.
Hamid Majidimehr, Mkuu wa Kituo cha Masuala ya Qur'ani cha shirika hilo, aliiambia IQNA siku ya Jumamosi kwamba makataa ya usajili yameongezwa kwa siku kumi hadi Juni 18.
Habari ID: 3478953 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/09
Harakati za Qur'ani
IQNA - Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Jordan imechapisha nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu tangu ilipoanzishwa mwaka 1968.
Habari ID: 3478237 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/22
IQNA - Idara ya Waqfu ya Kiislamu huko al-Quds (Jerusalem) imesema kumeshuhudiwa ongezeko la idadi ya walowezi wa Kizayuni waliouhujumu Msikiti wa Al-Aqsa mwaka jana.
Habari ID: 3478133 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/02
Shughuli za Qur'ani
Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua kozi tatu za mtandaoni za Qur'ani kwa wanafunzi kutoka nchi mbalimbali.
Habari ID: 3477134 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/11
Harakati za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) nchini Libya imezindua Mus’haf (nakala ya Qur’ani Tukufu) iliyochapishwa na Shirika la Wakfu la nchi hiyo.
Habari ID: 3476734 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/20
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) – Mashindano ya 39 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumamosi Alasiri mjini Tehran.
Habari ID: 3476582 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/18
Mashindano ya Qur'ani ya Iran
TEHRAN (IQNA) - Wataalamu wa Qur'ani kutoka Iran na nchi nyingine nane watahudumu katika jopo la waamuzi katika awamu ya mwisho ya Awamu ya 39 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran.
Habari ID: 3476554 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/13
Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Jopo la waamuzi wa Mashindano ya 45 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran limetangaza majina ya washindi katika sehemu ya wanaume na wanawake ya mashindano hayo.
Habari ID: 3476428 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/19
Harakati za Qur'ani Tukufu
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imezindua mipango ya kuandaa mashindano ya kitamaduni mtandaoni kwa wanafunzi wa vituo vya kuhifadhi Qur'ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3476423 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18
Harakati za Qur’ani Misri
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Wakfu ya Misri imesema imeshaandaa vikao vya kufunza Qur'ani Tukufu maalumu kwa watoto katika zaidi ya misikiti 6,000 kote Misri.
Habari ID: 3476257 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu ya Misri imesema misikiti na maeneo yote ya ibada nchini humo yanaweza kuanza tena shughuli za kawaida kama ilivyokuwa kama ya janga la corona.
Habari ID: 3475218 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/07
TEHRAN (IQNA)- Raundi ya kwanza ya Mashindano ya 45 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran imepengwa kufanyika katika miezi ya Juni na Julai.
Habari ID: 3475111 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/11
TEHRAN (IQNA)- Vituo vya kuwafunza waalimu wa Qur'ani nchini Misri vinatazamiwa kuanza tena shughuli zao baada ya kufungwa kwa mwaka moja.
Habari ID: 3474579 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19
TEHRAN (IQNA)- Idadi ya washiriki wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Iran mwaka huu imeongezeka mara tatu ikilinganishwa na mwaka jana.
Habari ID: 3474362 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/30
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Wakfu ya Syria imetangaza kuanza swala za jamaa katika misikiti ya nchi hiyo kuanzia sikua ya Jumatano.
Habari ID: 3472808 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/27