iqna

IQNA

Putin
Waislamu Russia
IQNA - Kijana mmoja amehukumiwa kifungo cha miaka 3.5 jela nchini Russia kwa kujunjia heshima nakala Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3478430    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/02/29

Uislamu Russia
IQNA - Kumekuwa na ongezeko la rekodi la idadi ya misikiti nchini Russia (Urusi) katika miongo ya hivi karibuni, afisa mmoja alisema.
Habari ID: 3478034    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/14

Watetezi wa Qur'ani Tukufu
MOSCOW (IQNA)- Russia imetangaza kwamba inajitahidi kuandaa taarifa ya kimataifa katika Umoja wa Mataifa ya kulaani vitendo vyote kudhalilishwa au kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu na Uislamu, mwanadiplomasia wa nchi hiyo amesema.
Habari ID: 3478001    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/07

TEHRAN (IQNA) –Sheikhe mkuu wa Chuo cha Kiislamu cha Al-Ahzar nchini Misri ametoa wito kwa Russia na Ukraine kusikiliza wito wa kumaliza vita kati ya nchi hizo mbili.
Habari ID: 3474984    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/27

TEHRAN (IQNA)- Rais Vladimir Putin wa Russia mapema Alhamisi amehutubia taifa katika televisheni na kutangaza kuwa, vikosi vya nchi yake vimeanza oparesheni maalumu ya kijeshi katika eneo la Donbass ambalo limetangaza kujitenga na Ukraine. Punde baada ya kutangaza oparesheni hiyo ya kijeshi, Putin ametaka kusitishwe 'muundo wa kijeshi' Ukraine na kuitaka nchi hiyo iweke chini silaha zake.
Habari ID: 3474970    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/24

TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Moscow alionyesha kuunga mkono uamuzi wa Rais wa Russia Vladimir Putin wa kutambua maeneo yaliyojitenga ya Lugansk na Donetsk mashariki mwa Ukraine kama jamhuri huru.
Habari ID: 3474965    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/23

TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa: Ushirikiano kati ya Iran na Russia unajenga amani na usalama na utazuia sera za kujichukulia maamuzi ya upande mmoja katika kanda hii.
Habari ID: 3474825    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19

TEHRAN (IQNA)- Rais Vladimir Putin wa Russia amewakosoa vikali wanaomvunjia heshima Mtume Muhammad SAW na kusema kitendo kama hicho cha kutusi matukufu ya wengine hakiwezi kuhalalishwa kwa kisingizo cha uhuru wa maoni.
Habari ID: 3474718    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/24

TEHRAN (IQNA)- Rais Bashar al Assad wa Syria amefanya safari ya ghafla nchini Russia na kukutana na kufanya mazungmzo na Rais Vladimir Putin wa nchi hiyo katika Ikulu ya Kremlin.
Habari ID: 3474296    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/15

TEHRAN (IQNA) - Mamilioni ya wakimbizi wa Syria ambao walilazimika kutoroka nchi yao kutokana na vita sasa wanapaswa kuwezeshwa kurejea nyumbani kuijenga nchi yao ambayo aghalabu ya maeneo yako sasa yanashuhudia amani.
Habari ID: 3473345    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/09

TEHRAN (IQNA)- Kwa mujibu wa taarifa, Putin ameyasema hayo alipohutubu kwa njia ya video katika mjumuiko wa Siku ya Kitaifa ya Russia.
Habari ID: 3473334    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/06

Rais wa Iran katika mazungumzo ya simu na Rais wa Russia
TEHRAN (IQNA) - Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Rais Vladimir Putin wa Russia ameyahimiza mataifa ya dunia kusimama pamoja kukabiliana na ubabe wa Marekani wa kuchukua maamuzi ya upande mmoja.
Habari ID: 3472969    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/16

Mwanazuoni mwandamizi wa Kiislamu nchini Russia amesema misikiti 7,500 mipya imejengwa nchini humo wakati wa kipindi cha urais wa Vladimir Putin .
Habari ID: 3461608    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/09

Ayatullah Udhma Sayid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jumatatu alionana na Rais Vladimir Putin wa Russia mjini Tehran na huku akikaribisha juhudi za kustawisha zaidi ushirikiano wa pande mbili, wa kieneo na kimataifa
Habari ID: 3456712    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/24

Rais Vladimir Putin wa Russia amemtunuku Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali hamenei, nakala ya zamani yenye thamani kubwa ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3456287    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/23

Rais Vladimir Putin wa Russia ameidhinisha muswada wa bunge la nchi hiyo, Duma, kuhusu kulinda na kuhifadhi heshima vitabu vitukufu vya duni kubwa duniani.
Habari ID: 3386346    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/17

Rais Vladmir Putin wa Russia Jumatano amefungua msikiti mkuu wa Moscow ambao ni msikiti mkubwa zaidi barani Ulaya.
Habari ID: 3366927    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24

Mjumbe maalumu wa rais Vladimir Putin wa Russia amekutana na kufanya mazungumzo na katibu mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
Habari ID: 2615883    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/07