iqna

IQNA

Mbunge mmoja wa Chad amesisitiza kuhusu ulazima wa kutuma askari wa kimataifa kulinda maisha ya Waislamu Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mohammad Ibn Zain ameongeza kuwa kuendelea mauaji ya umati ya Waislamu huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ni natija ya kimya cha jamii ya kimataifa.
Habari ID: 1379190    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/24