TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Kiislamu na Kikristo nchini Cameroon wameshiriki katika dua ya pamoja kuomba amani na mafanikio ya mashindano ya soka ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON).
Habari ID: 3474781 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/08
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni maarufu wa Nigeria na muasisi wa Taasisi ya Darul Hadith ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 79.
Habari ID: 3474779 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/07
TEHRAN (IQNA)- Waislamu nchini Marekani wanataka uchunguzi ufanyike baada ya msikiti kuhujumiwa katika mji wa Waterloo jimboni Iowa.
Habari ID: 3474775 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/06
TEHRAN (IQNA) – Waislamu nchini Ghana wameshiriki kikao cha kusoma Qur’ani kwa ajili ya kuomba baraka za Allah SWT.
Habari ID: 3474772 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/06
Mtaalamu mmoja wa Qur'ani Tukufu nchini Algeria amesema kuwa wakoloni walitekeleza njama za makusudi za kudhoofisha nafasi na hadhi ya Qur'ani barani Afrika.
Habari ID: 3474758 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Al Rashid huko Edmonton nchini Canada sasa unatumika kama makazi ya usiku kwa watu masikini wasio na nyumba katika kipindi hiki cha msimu wa baridi kali.
Habari ID: 3474751 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Ujerumani imebatilisha uamuzi wake wa kumuenzi mwanahistoria wa utawala wa Kizayuni wa Israel baada ya matamshi yake ya kukana mauaji ya Waislamu.
Habari ID: 3474750 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/01
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Waislamu Uingereza limetuma salamu za rambi rambi kufuatia kuaga dunia Askofu Desmond Tutu wa Afrika Kusini.
Habari ID: 3474729 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/27
TEHRAN (IQNA)- Video zinazowaonyesha viongozi wa kidini wa Kihindu nchini India wakitoa wito wa mauaji ya halaiki dhidi ya Waislamu zimezua hasira na wito madai ya kuchukuliwa hatua dhidi ya wahusika.
Habari ID: 3474719 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/25
TEHRAN (IQNA) – Jumuiya ya Waislamu Windsor wanatafakari kufungua kesi katika Mahakama Kuu ya Uingereza baada ya kunyimwa idhini ya kujenga msikiti katika mji wa Windsor.
Habari ID: 3474683 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/16
TEHRAN (IQNA)- Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Tatarstan katika Shirikisho la Russia, Marat Khusnullin, ameidhinisha mpango wa kusherehekea mwaka wa 1,100 tokea Uislamu uingie eneo hilo.
Habari ID: 3474682 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/16
TEHRAN (IQNA)- Ubelgiji imeondoa marufuku ya uvaaji vazi la stara ya mwanamke wa Kiislamu Hijabu iliyokuwa imewekwa kwa wale wanaoingia katika mahakama za nchi hiyo.
Habari ID: 3474677 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/15
TEHRAN (IQNA)- Polisi nchini Canada imemkamata mtu mmoja Jumatatu baada ya mzoga kutupwa nje ya msikiti katika eneo la Vaudreuil-Dorion hivi karibuni.
Habari ID: 3474674 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14
TEHRAN (IQNA)- Makaburi ya Waislamu katika mji wa Mulhouse, mashariki mwa Ufaransa yamehujumiwa na watu wasiojulikana Jumapili jioni.
Habari ID: 3474673 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14
TEHRAN (IQNA)- Mufti wa Mji wa Quds (Jerusalem) na Palestina amelaani vikali matamshi ya mbunge mmoja nchini Marekani ambaye ametaka Msikiti wa Al Aqsa mjini Quds uvunjwe.
Habari ID: 3474671 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14
TEHRAN (IQNA)- Mahafali ya kuhitimu mamia ya wanafunzi walioifadhi Qur'ani Tukufu imefanyika kaskazini mashariki mwa Uturuki katika mkoa wa Rize.
Habari ID: 3474668 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/12
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema sera za ujirani mwema na kuwa na uhusiano na majirani ili kusambaratisha vikwazo ni mkakati wa kistratijia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3474666 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/11
TEHRAN (IQNA)- Ofisi ya Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau imetangaza kuchukua hatua za kisheria dhidi ya sheria ya jimbo la Quebec ambayo imepelekea mwalimu mmoja Muislamu ahamishwe kazi kwa sababu tu alikuwa amevaa Hijabu.
Habari ID: 3474665 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/11
TEHRAN (IQNA) – Sera rasmi ya serikali ya Ufaransa ya kubana uhuru wa Waislamu sasa imefika kiasi ambacho hakiwezi kustahamiliwa tena.
Habari ID: 3474655 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/08
TEHRAN (IQNA)- Wanafuzni Waislamu katika Chuo Kikuu cha Kyambogo mjini Kampala nchini Uganda wanataka chuo hicho kiwaajiri maafisa usalama wanawake wanawake ambao watakua na jukumu la kuwapekua wanafunzi wa kike.
Habari ID: 3474654 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/08