TEHRAN (IQNA)- Kumezinduliwa mpango wa kujenga makaburi makubwa zaidi ya Waislamu barani Ulaya huko Uingereza katika eneo eneo la Blackburn, Lancashire.
Habari ID: 3474602 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/26
Rais wa Iran akimpokea Balozi wa Vatican
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kutoa mazingatio kwa Mola Muumba na suala la umanaawi ni jambo la udharura mkubwa hii leo kwa jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3474593 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23
TEHRAN (IQNA)- Viongozi wa Kiislamu katika jimbo la Oyo nchini Nigeria wameapa kupigania haki za wasichana Waislamu kuvaa Hijabu.
Habari ID: 3474591 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23
TEHRAN (IQNA) –Waislamu kote nchini Misri wameshiriki katika Sala ya Istisqa yaani Sala ya Kuomba Mvua.
Habari ID: 3474589 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/22
TEHRAN (IQNA)- Mtu asiyejulikana anayeaminikwa kuwa ni mwenye chuki dhidi ya Uislamu ameushambulia msikiti mmoja huko Cologne, magharibi mwa Ujerumani mapema Ijumaa.
Habari ID: 3474581 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20
TEHRAN (IQNA)- Sala ya Ijumaa imeruhusiwa tena nchini Brunei baada ya kusitishwa kwa muda wa miezi mitatu.
Habari ID: 3474580 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/20
TEHRAN (IQNA)- Ripoti mpya imefichua kuwa utawala haramu wa Israel unaunga mkono wagombea wawili katika uchaguzi wa rais utakaofanyika Libya mwezi Disemba.
Habari ID: 3474576 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19
TEHRAN (IQNA) Hussein Ibrahim Taha ameanza rasmi kazi kama Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiisalmu (OIC).
Habari ID: 3474574 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/18
TEHRAN (IQNA)- Katika miezi ya hivi karibuni kumeshuhudiwa ongezeko kubwa la kutoweka na kuuawa Waislamu nchini Kenya na sasa viongozi wa Kiislamu nchini humo wanataka serikali itoe majibu.
Habari ID: 3474569 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/17
TEHRAN (IQNA) – Mamia ya watu kutoka dini mbali mbali wamekusanyika katika miji kadhaa mikubwa Marekani kulaani hatua ya Facebook kuruhusu matamshi ya chuki dhidi ya Waislamu nchini India.
Habari ID: 3474564 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/16
TEHRAN (IQNA)- Lugha ya Kalenjin nchini Kenya inakadiriwa kuwa na wazungumzaji milioni 6.3 na sasa jamii hiyo kubwa kwa mara ya kwanza imepata Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha yao.
Habari ID: 3474557 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA) = Huduma mpya imezinduliwa kwa ajili ya Waislamu walionje ya Saudi Arabia ambao wanataka kutekeleza Hija ndogo ya Umrah.
Habari ID: 3474555 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA)- Baraza la Wanazuoni wa Kiislamu wa Madhehebu ya Shia katika jimbo la Herat nchini Afghanistan wameitaka serikali ya Taliban kurejesha kamati za usalama ili kulinda misikiti ya Mashia ambayo inakabilia na tishio la kushambuliwa na magaidi wakufurushaji wa ISIS au Daesh.
Habari ID: 3474542 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11
TEHRAN (IQNA)- Watu wanaoaminika kuwa na chuki dhidi ya Uislamu sasa wanalenga biashara zinazomilikwa na Waislamu nchini Marekani.
Habari ID: 3474541 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11
TEHRAN (IQNA)- Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri amewaenzi na kuwatunuku zawadi wanafunzi walioshika nafasi za juu katika mashindano ya hivi karibu ya Qiraa ya Qur'ani Tukufu na Ibtihal.
Habari ID: 3474540 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11
TEHRAN (IQNA) – Spika wa bunge lililosimamishwa kazi la Tunisia amesema atajiuzulu iwapo hilo litatatua matatizo ya kisiasa nchini Tunisia.
Habari ID: 3474536 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani maalumu kwa wanawake wenye ulemavu wa macho yameandaliwa hivi karibuni nchini Iraq.
Habari ID: 3474528 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08
TEHRAN (IQNA)- Misikiti mitatu Ufaransa imehujumiwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu Jumapili katika miji ya Montlebon, Pontarlier, na Roubaix.
Habari ID: 3474527 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/08
TEHRAN (IQNA)- Msikiti mpya umefunguliwa hivi karibuni katika mji mkuu wa Zambia, Lusaka kwa lengo la kuwahudumia Waislamu na pia kuelimisha watu wa nchi hiyo kwa ujumla kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3474525 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/06
TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Waislamu katika eneo la Manawatu New Zealand imeidhinisha msikiti wa eneo hilo kutumika kama eneo la kutoa chanjo ya COVID-19 kwa watu wote.
Habari ID: 3474524 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/06