Watu zaidi ya milioni 15 kote Iran wameshiriki katika mpango wa kitaifa wa kusoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3471152 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/02
Kiongozi Muadhamu katika Ujumbe kwa Mahujaji
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei leo ametoa ujumbe kwa Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3471150 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/31
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani ameitaka Mynmar iheshimu haki za jamii ya Waislamu wa kabila la Rohingya.
Habari ID: 3471145 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/28
TEHRAN (IQNA)-Bi. Baiq Mariah kutoka Indonesia ametmabuliwa kuwa Hujaji mwenye umri wa juu zaidi mwaka huu.
Habari ID: 3471144 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/27
TEHRAN (IQNA) Magaidi wameuhujumu msikiti wa Waislamu wa madhehebu ya Shia mjini Kabul, Afghanistan na kuuawa waumini 30 waliokuwa katika Sala ya Ijumaa.
Habari ID: 3471142 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/26
TEHRAN (IQNA)-Mamia ya Waislamu wa kabila la Rohingya wamezingirwa na Mabuddha wenye misimamo mikali katika kijiji kimoja kilichoko katika jimbo la Rakhine, magharibi mwa Myanmar.
Habari ID: 3471139 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/24
TEHRAN (IQNA)-Kila mwaka mamilioni ya Mahujaji kutoka kila kona ya dunia humiminika katika Mji Mtakatifu wa Makka kwa ajili ya Ibada ya Hija.
Habari ID: 3471138 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/23
TEHRAN (IQNA)-Baraza la Waislamu Uingereza linataka gazeti la The Sun nchini humo lichukuliwe hatua kwa kuandika makala yenye kuchochea hisia dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3471137 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/23
TEHRAN (IQNA)-Tamasha la Chakula Halal limefanyika mjini London kwa mafanikio kati ya Agosti 19-20.
Habari ID: 3471135 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/21
TEHRAN (IQNA)-Chuo Kikuu cha Qur’ani kinatazamiwa kuanzishwa nchini Malaysia katika jimbo la Baling baada ya mbunge wa eneo hilo kuahidi kutenga ardhi ya hekari 12.8 kwa ajili ya mradi huo.
Habari ID: 3471134 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/21
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Uhispania wana wasiwasi mkubwa kuhusu ongezeko la chuki dhidi ya Uislamu kufuatia hujuma ya kigaidi mjini Barcelona ambayo magaidi wa ISIS walidai kuhusika nayo.
Habari ID: 3471132 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/20
TEHRAN (IQNA)- Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayoashiria kutaka Waislamu wauawe kwa kutumia risasi zilizotumbukizwa kwenye damu ya nguruwe.
Habari ID: 3471130 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/19
TEHRAN (IQNA)-Msikiti wa Jamia mjini Nairobi umezindua televisheni ya kwanza ya Kiislamu nchini Kenya.
Habari ID: 3471125 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/16
TEHRAN (IQNA)-Mabuddha nchini Myanmar wamewazuia Waislamu 21 wa kabila la Rohingya kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3471117 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/10
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Trinidad na Tobago wametoa wito kwa wasimamizi kwa mamlaka ya viwanja wa ndege nchini humo ichukue hatua za dharura za kuwaandalia Mahujaji chumba maalumu cha kusali.
Habari ID: 3471113 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/09
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Tajikistan imetangaza kuwazuia wanawake wa nchi hiyo kuvaa vazi la staha la Hijabu ikiwa ni muendelezo wa vita dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471110 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/07
TEHRAN (IQNA)-Mkurungenzi mmoja wa sanaa nchini Malaysia ameandaa Saa ya Qur’ani (#QuranHour) kwa lengo la kuwakumbusha walimwengu wote kuhusu mvuto wa mafundisho ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471109 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/07
TEHRAN (IQNA)-Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita nchini Nigeria amewashangaza wengi kwa kufanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu kwa kipindi cha chiniya mwaka moja.
Habari ID: 3471107 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/06
TEHRAN (IQNA) Kwa munasaba wa Wiladat ya Imam Ridha AS, Msafara wa wahudumu wa Haram Takatifu ya Imam Ridha AS iliyoko mjini Mashhad nchini Iran wamefika Zanzibar nchini Tanzania na kukutana na Ulamaa wa Ahul Sunna.
Habari ID: 3471104 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/05
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya Waislamu 6,000 wameuawa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati tokea mwaka 2013 lakini jamii ya kimataifa imenyamazia kimya jinai hiyo na kuonyesha kutojali.
Habari ID: 3471103 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/04