TEHRAN (IQNA)- Waislamu 8 wamejeruhiwa baada ya kufyatuliwa risasi na magaidi mbele ya mlango wa msikiti kusini mwa Ufaransa.
Habari ID: 3471050 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/04
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran ametaka vyombo vya mahakama nchini viwatetee Waislamu wanaodhulumiwa duniani
Habari ID: 3471049 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/04
TEHRAN (IQNA)- Utawala wa Kizayuni wa Israel sasa utatimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuuteka mji mtakatifu wa Makka kupitia msaada wa Muhammad bin Salman, mrithi mpya wa kiti cha ufalme nchini humo.
Habari ID: 3471048 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/03
TEHRAN (IQNA)-Wamarekani ambao wamebadilisha dini au itikadi na kuwa Waislamu wanakumbwa na matatizo maradufu zaidi ya Waislamu wengine Marekani.
Habari ID: 3471043 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/30
TEHRAN (IQNA)-Algeria imetoa msaada wa mamia ya nakala za Qur'an Tukufu kwa ajili ya Waislamu nchini Russia.
Habari ID: 3471039 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/28
TEHRAN (IQNA)-Zaidi ya Waislamu zaidi ya 100,000 wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr Jumapili katika bustani moja Uingereza na kuufanya mjumuiko huwa kuwa mkubwa zaidi wa sala ya Idi barani Ulaya.
Habari ID: 3471038 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/27
TEHRAN (IQNA)-Televisheni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imerusha hewani mashindano makubwa zaidi duniani ya Qur'ani ya moja kwa moja (live).
Habari ID: 3471035 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/25
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Kenya wanaendelea kujadili mtaala katika shule za Kiislamu maarufu kama Madrassah huku kukitolewa tahadhari ya kuingizwa misimamo mikali ya kidini katika mtaala huo.
Habari ID: 3471032 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/23
TEHRAN (IQNA)-Katika hatua inayoatathminiwa kuwa ya kibaguzi, Jeshi la Polisi nchini Marekani limedai mauaji ya binti Mwislamu nje ya msikiti si ya kigaidi.
Habari ID: 3471028 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/20
TEHRAN (IQNA) Waislamu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati wanakabaliwa na hali mbaya huku wengi wakiwa hawana chakala wala makao katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani baada ya kufurushwa na genge la Kikristo la Anti Balaka.
Habari ID: 3471027 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/20
TEHRAN (IQNA)-Mwislamu ameuawa Jumatatu usiku baada ya gaidi kuhujumu Msikiti mjini London Uingereza huku Waislamu wakikosoa vyombo vya habari na serikali kwa ubaguzi baada ya tukio.
Habari ID: 3471026 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/19
TEHRAN (IQNA)-Wataalamu wa akiolojia wamegundua mji wa kale wa Kiislamu ambao ulikuwa kituo cha kibiashara zaidi ya miaka 1,000 iliyopita
Habari ID: 3471024 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/18
TEHRAN (IQNA)-Maelfu ya watu, wengi wao wakiwa Waislamu, wameandamana katika mji wa Cologne magharibi mwa Ujerumani kupinga ugaidi unaotendwa kwa jina la Uislamu.
Habari ID: 3471023 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/18
TEHRAN (IQNA)-Waislamu waliokuwa wameamka kutekeleza ibada za usiku za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani walifanikiwa kuokoa maisha ya watu wengi wakati wa kuanza kuteketea moto jengo la Grenfell Tower mjini London.
Habari ID: 3471019 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/15
TEHRAN (IQNA)-Waislamu katika mji mkuu wa Iceland, Reykjavik wanafunga masaa 22 kwa siku katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani kutokana na usiku kuwa mfupi katika ncha ya kaskazini duniani.
Habari ID: 3471017 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/12
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri Ustadh Farajullah Al-Shadhili ameaga dunia Jumatatu tarehe 10 Ramadhani, sawa na 5 Juni.
Habari ID: 3471010 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/06
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Canada wanachangisha pesa kusaidia familia za raia wa Somalia wanaokabilia na baa la njaa.
Habari ID: 3471003 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/01
TEHRAN (IQNA)-Wanawake Waislamu nchini Malawi sasa wanaweza kupigwa picha za leseni ya kuendesha gari wakiwa wamevaa vazi la staha la Hijabu.
Habari ID: 3471002 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/31
TEHRAN (IQNA)-Uingereza ni makaazi ya jamii anui ya Waislamu kutoka karibu pembe zote za dunia.
Habari ID: 3471001 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/30
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Malawi wameanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani kwa kuzinduliwa televisheni ya kwanza ya Kiislamu nchini humo.
Habari ID: 3471000 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/29