Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Marekani na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zinaipinga Iran ya Kiislamu kwa kuwa Uislamu umedhihiri nchini hapa na ndio unaozuia tamaa zao
Habari ID: 3470951 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/25
Mtaalamu wa Qur'ani kutoka Algeria
TEHRAN (IQNA)-Mtaalamu wa masuala ya Qur'ani kutoka Algeria amesema mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran mwaka huu ni ya kipekee na ya aina yake duniani.
Habari ID: 3470949 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/24
TEHRAN (IQNA)-Mkutano wa 10 wa Kimataifa wa Masomo ya Qur’ani unafanyika leo Jumatatu nchini Iran katika mji mtakatifu wa Qum, kusini mwa Tehran.
Habari ID: 3470948 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/24
TEHRAN (IQNA)-Misri hivi sasa iko katika hali ya tahadhari ya juu kufuatia hujuma mbili za kigaidi zilizolenga makanisa ya Wakristo wa Kikhufti katika miji ya Tanta na Alexandria na kuua watu 49 siku chache zilizopita.
Habari ID: 3470944 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/21
TEHRAN (IQNA)-Mashindano ya 34 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran yamefunguliwa rasmi Jumatano hii katika Ukumbi wa Sala wa Imam Khomeini MA mjini Tehran.
Habari ID: 3470941 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/19
TEHRAN (IQNA)-Polisi nchini Nigeria kwa mara nyingine tena wamtumia gesi ya kutoa machozi kuhujumu maandamano ya amani ya Waislamu katika mjimkuu Abuja.
Habari ID: 3470939 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/18
TEHRAN (IQNA)- Waislamu wa eneo la Amerika Kaskazni wamekutana katika la 42 la kila mwaka ambapo wamejadili changamoto mbali mbali wanazokabiliana nazo katika nchi za Canada na Marekani hasa katika utawala wa Donald Trump.
Habari ID: 3470938 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/17
TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Kenya wameandamana kulaani mpango wa wakuu wa mji wa Nairobi kubomoa msikiti moja mjini humo kwa ajili ya ujenzi wa barabara.
Habari ID: 3470925 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09
TEHRAN (IQNA)-Mwanamke raia wa Uturuki ambaye amehifadhi nusu ya Qur'ani hivi sasa anataraji kuhifadhi Qur'ani kikamilifu.
Habari ID: 3470924 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08
TEHRAN (IQNA)-Raia 6,000 wa Kenya wanatazamiwa kushiriki katika Ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3470917 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/04
TEHRAN (IQNA) Kumeshuhudiwa ongezeko la 62% la kuhujumiwa Waislamu na Uislamu nchini Austria mwaka 2016.
Habari ID: 3470913 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/30
TEHRAN (IQNA)-Wanawake Waislamu mjini London wamekusanyika katika Daraja la Westminster na kuunda mnyororo wa binadamu (human chain) kubainisha kufungamana kwao na waathirika wa hujuma ya kigaidi wiki iliyopita katika eneo hilo.
Habari ID: 3470911 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/28
TEHRAN (IQNA)-Umoja wa Mataifa umepasisha azimio na kutaka kufunguliwa mshtaka, kufikishwa mahakamani na kuadhibiwa wale wote wanaohusika na mauaji na kuwatesa Waislamu wa kabila la Rohingya huko Myanmar.
Habari ID: 3470907 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/25
TEHRAN (IQNA)-Watu wanaouuchukia Uislamu (Islamophobes) wameandamana na kuvunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu huko Ontario, Canada mapema wiki hii.
Habari ID: 3470906 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/25
TEHRAN (IQNA)-Mtu asiyejulikana ameuhujumu msikiti nchini Marekani katika jimbo la Arizoni mjini Tucson na kupasua nakala kadhaa za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470900 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/18
IQNA:Matokeo ya uchaguzi wa bunge Uholanzi yanaonyesha mwanasiasa mwenye misimamo mikali na chuki dhidi ya Uislamu amepata pigo.
Habari ID: 3470898 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/16
IQNA-Mahakama ya Uadilifu ya Ulaya imekosolewa vikali na Waislamu kwa kutoa hukumu kuwa waajiri barani humo wanaweza kuwazuia wafanyakazi wa kike Waislamu kuvaa hijabu kazini.
Habari ID: 3470897 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/16
IQNA-Karibu misikiti 30,000 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha harakati maalumu ya kusoma Qur'ani Tukufu iliyopewa jina la 'Tilawat
Habari ID: 3470883 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/07
IQNA-Jumuiya ya Vijana Waislamu huko Canada imepanga maonyesho 100 ya Qur'ani kote katika nchi hiyo katika kampeni ya 'Uislamu Ufahamike'.
Habari ID: 3470880 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/05
IQNA-Wanafunzi Waislamu katika shule moja Ujerumani wamepigwa marufuku kutekeleza ibada ya Swala wakiwa shuleni
Habari ID: 3470878 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/04