iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Kenya wameandamana kulaani mpango wa wakuu wa mji wa Nairobi kubomoa msikiti moja mjini humo kwa ajili ya ujenzi wa barabara.
Habari ID: 3470925    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/09

TEHRAN (IQNA)-Mwanamke raia wa Uturuki ambaye amehifadhi nusu ya Qur'ani hivi sasa anataraji kuhifadhi Qur'ani kikamilifu.
Habari ID: 3470924    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08

TEHRAN (IQNA)-Raia 6,000 wa Kenya wanatazamiwa kushiriki katika Ibada ya Hija mwaka huu.
Habari ID: 3470917    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/04

TEHRAN (IQNA) Kumeshuhudiwa ongezeko la 62% la kuhujumiwa Waislamu na Uislamu nchini Austria mwaka 2016.
Habari ID: 3470913    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/30

TEHRAN (IQNA)-Wanawake Waislamu mjini London wamekusanyika katika Daraja la Westminster na kuunda mnyororo wa binadamu (human chain) kubainisha kufungamana kwao na waathirika wa hujuma ya kigaidi wiki iliyopita katika eneo hilo.
Habari ID: 3470911    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/28

TEHRAN (IQNA)-Umoja wa Mataifa umepasisha azimio na kutaka kufunguliwa mshtaka, kufikishwa mahakamani na kuadhibiwa wale wote wanaohusika na mauaji na kuwatesa Waislamu wa kabila la Rohingya huko Myanmar.
Habari ID: 3470907    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/25

TEHRAN (IQNA)-Watu wanaouuchukia Uislamu (Islamophobes) wameandamana na kuvunjia heshima nakala ya Qur'ani Tukufu huko Ontario, Canada mapema wiki hii.
Habari ID: 3470906    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/25

TEHRAN (IQNA)-Mtu asiyejulikana ameuhujumu msikiti nchini Marekani katika jimbo la Arizoni mjini Tucson na kupasua nakala kadhaa za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470900    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/18

IQNA:Matokeo ya uchaguzi wa bunge Uholanzi yanaonyesha mwanasiasa mwenye misimamo mikali na chuki dhidi ya Uislamu amepata pigo.
Habari ID: 3470898    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/16

IQNA-Mahakama ya Uadilifu ya Ulaya imekosolewa vikali na Waislamu kwa kutoa hukumu kuwa waajiri barani humo wanaweza kuwazuia wafanyakazi wa kike Waislamu kuvaa hijabu kazini.
Habari ID: 3470897    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/16

IQNA-Karibu misikiti 30,000 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha harakati maalumu ya kusoma Qur'ani Tukufu iliyopewa jina la 'Tilawat
Habari ID: 3470883    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/07

IQNA-Jumuiya ya Vijana Waislamu huko Canada imepanga maonyesho 100 ya Qur'ani kote katika nchi hiyo katika kampeni ya 'Uislamu Ufahamike'.
Habari ID: 3470880    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/05

IQNA-Wanafunzi Waislamu katika shule moja Ujerumani wamepigwa marufuku kutekeleza ibada ya Swala wakiwa shuleni
Habari ID: 3470878    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/04

IQNA: Daktari mwenye umri wa miaka 32 anatarajia kuwa Mwislamu kwa kwanza gavana nchini Marekani baada ya kutangaza nia ya kugombea ugavana wa jimbo la Michigan.
Habari ID: 3470875    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/03

IQNA-Tuko katika mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra SA binti mtukufu wa Bwana Mtume SAW na mwanamke bora duniani na Akhera, mwanamke ambaye ni kigezo na ruwaza njema.
Habari ID: 3470874    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/02

IQNA-Umoja wa Mataifa umesema ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya wa Myanmar umefikia kiwango cha kutia wasi wasi na ni mkubwa zaidi ya ilivyodhaniwa.
Habari ID: 3470871    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/28

IQNA-Mwanae bingwa wa masumbwi duniani marehemu Muhammad Ali, ametiwa mbaroni katika uwanja wa ndege wa jimbo la Florida nchini Marekani kwa sababu tu an jina la Kiislamu.
Habari ID: 3470868    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/26

Rais Hassan Rouhani wa Iran
IQNA-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, kadhia ya Palestina ndiyo kadhia muhimu zaidi katika ulimwengu wa Kiislamu na kwamba, utawala wa Kizayuni wa Israel ni utawala pandikizi, mzaliwa wa Magharibi unaovunja haki za binadamu.
Habari ID: 3470865    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/22

IQNA-Kansela wa Ujerumani ametoa mwito wa kushirikishwa Russia na Waislamu katika kukabiliana na jinamizi la ugaidi.
Habari ID: 3470860    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/20

IQNA-Maonyesho ya kwanza ya mavazi ya Hijabu yamefanyika mjini London na kuwavutia mamia ya wanawake waliokuwa wakitafuta mitindo bora yenye kuzingatia misingi ya Kiislamu.
Habari ID: 3470858    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19