iqna

IQNA

IQNA-Waislamu sita wameuawa katika hujuma ya kigaidi dhidi ya msikiti mmoja katika mji wa Quebec nchini Canada.
Habari ID: 3470823    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/31

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali uamuzi wa serikali ya Marekani kuzuia Waislamu kuingia nchini humo ikisema kuwa, huko ni kuuvunjia heshima waziwazi ulimwengu wa Kiislamu na taifa la Iran.
Habari ID: 3470821    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/29

IQNA-Rais Donald Trump wa Marekani amelaaniwa vikali kwa hatua yake ya kutia saini sheria ya kuwapiga marufuku Waislamu kuingia nchini humo.
Habari ID: 3470817    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/28

IQNA- Polisi nchini Nigeria wamewavurumishia mabomu ya kutoa machozi waandamnaji waliokuwa wakimuunga kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya nchi hiyo, Sheikh Ibrahim Zakzaky ambaye anaendelea kuwekwa kizuizini kinyume cha sheria.
Habari ID: 3470815    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/26

IQNA-Magiadi wakufurishaji wa Boko Harm wamekithirisha kutumia watoto wadogo katika harakati zao za kigaidi ikiwemo kutekeleza mashambulizi ya mabomu.
Habari ID: 3470810    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/24

IQNA: Baada kuapishwa Donald Trump kama rais wa Marekani, Imamu aliyealikwa katika ibada maalumu alisoma aya za Qur’ani ambazo zilikuwa na ujumbe wa wazi kwa rais huyo na utawala wake.
Habari ID: 3470807    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/23

IQNA-Shirika la kutetea haki za binadmau la Amanesty International limeitaka serikali ya Nigeria kumuachulia huru kiongozi wa Harakati ya Kiislamu, Sheikh Ibrahim Zakzaky.
Habari ID: 3470799    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/16

IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) imeitisha kikao cha nchi wanachama kujadili mauaji na mateso wanaofanyiwa Waislamu wa Rohingya nchini Myanmar.
Habari ID: 3470792    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/12

IQNA- Wafanyakazi wote wa umma Austira, wakiwemo walimu, watapigwa marufuku kuvaa Hijabu wakiwa kazini.
Habari ID: 3470786    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/08

IQNA-Mabuddha wenye misimamo mikali na maafisa wa serikali ya Myanmar wamebuni mbinu mpya ya kuwabagua na kuwakandamiza Waislamu katika makazi na nyumba zao.
Habari ID: 3470780    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/04

IQNA-Mashindano ya Qur'ani ya Waislamu wa Japan yamefanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tokyo.
Habari ID: 3470778    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/03

IQNA-Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha ya Kiyao imezinduliwa ncchini Malawi siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3470771    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/01

IQNA-Chuo Kikuu cha Sarajevo nchini Bosnia Herzegovina kimetangaza kitakuwa kikufungwa adhuhuri wakati wa Sala ya Ijumaa ili Waislamu chuoni hapo wahudhurie sala hiyo ya kila wiki.
Habari ID: 3470770    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/31

IQNA: Makumi ya maelfu ya Waislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar wamekimbilia katika nchi jirani ya Bangladesh ili kunusuru maisha yao.
Habari ID: 3470768    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30

IQNA: Utawala wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umelaaniwa vikali kwa hatua yake ya kuwaalika makuhani wa Kizayuni wanaotaka Wapalestina waangamizwe kwa umati.
Habari ID: 3470767    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/30

Katika kikao cha Malaysia
IQNA: Mkutano wa kwanza wa Mabadilishano ya Sayansi na Teknolojia miongoni mwa nchi za Kiislamu (STEP) umefanyika katika mji mkuu wa Malaysia, Kuala Lumpur.
Habari ID: 3470756    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/24

IQNA-Waislamu wawili wametimuliwa kutoka ndege ya shirika moja la Marekani mjini London baada ya wasafiri kadhaa Waingiereza kulalamika kuwa walimsikia mmoja wao akizungumza kwa lugha ya Kiarabu kwa simu.
Habari ID: 3470753    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/22

IQNA-Awamu ya 12 ya Mashindano ya Kila Mwaka ya Qur’ani ya Amerika Kaskazini yamepangwa kufanyika mjini Toronto, Canada mwaka 2017.
Habari ID: 3470752    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/21

IQNA: Waislamu katika mji mkuu wa Uingereza, London wamekusanya tani nyingi za chakula kwa ajili ya kuwasaidia mayatima na watoto wa mitaani katika kipindi hiki cha sherehe za kufunga mwaka.
Habari ID: 3470749    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/19

IQNA-Murtadha Ridhwanifar, msomi wa masuala ya utamaduni nchini Iran amefanya safari Afrika Mashariki kuangazia historia ya Washirazi waliofika eneo hilo kutoka Iran.
Habari ID: 3470748    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/18