iqna

IQNA

IQNA: Tarehe 20 Safar inasadifiana na Arubaini ya kuuawa shahidi Imam Hussein AS pamoja na wafuasi wake 72 katika jangwa la Karbala, Iraq ya leo. Hii huwa ni siku maalumu ya kusoma Ziara ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3470685    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/19

IQNA-Rais-mteule wa Marekani Donald Trump amewateua watu wenye chuki dhidi ya Uislamu kuhudumu katika Ikulu ya White House jambo linanloashiria muendelezo wa sera zake za chuki ambazo zimewatia hofu Waislamu nchini humo.
Habari ID: 3470684    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/19

Hatimaye Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeitaka serikali ya Nigeria kutoa maelezo kuhusu mauaji yaliyofanywa mwaka jana na jeshi la nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa madhehebu ya Shia katika mji wa Zaria.
Habari ID: 3470683    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/18

IQNA-Jeshi la Myanmar limeua Waislamu wasiopungua 150 wa jamii ya Rohingya katika jimbo la Rakhine.
Habari ID: 3470682    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/17

IQNA-Uislamu unazidi kuimarika na kuenea kote huko Zimbabwe kutokana watu wa nchi hiyo kutambua itikadi za dini hii tukufu.
Habari ID: 3470678    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/15

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani mauaji ya Waislamu waliokuwa wakishiriki katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussein AS kaskazini mwa Nigeria
Habari ID: 3470677    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/15

Katika msafara ya Arubaini ya Imam Hussein AS
IQNA- Jeshi la Nigeria limeua Waislamu zaidi ya100 wa madhehebu ya Shia kwa kuwapiga risasi kiholela kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3470676    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/14

UNICEF
IQNA-Shirika la Umoja la Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF limebaini wasi wasiwake kuhusu jinai za kutisha dhidi ya watoto zinazotekelezwa na jeshi la Myanmar katika jimbo la Rakhine.
Habari ID: 3470667    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11

IQNA-Kumeshuhudiwa wimbi la hujuma dhidi ya Waislamu kote Marekani baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais siku ya Jumanne.
Habari ID: 3470666    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11

IQNA-Nchini Japan kumeshuhudiwa ongezeko la vyumba maalumu kwa ajili ya Waislamu kusimamisha sala katika maeneo ya umma.
Habari ID: 3470661    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/07

IQNA-Saudi Arabia inaendeleza vita vya siri dhidi yay a Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na, Ushia na Waislamu wa madhehebu ya Shia kupitia akaunti bandia za mitandao ya kijamii, imefichuliwa.
Habari ID: 3470656    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/06

IQNA-Kenya itakuwa mwenyeji wa maonyesho ya kwanza ya kimatiafa ya bidhaa na huduma halali eneo la bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Habari ID: 3470653    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05

Waziri wa Masuala ya Dini Tunisia amefutwa kazi, baada ya kusema kuwa, idiolojia ya Uwahhabi ambayo inatawala Saudi Arabia ndiyo chanzo cha ugaidi duniani.
Habari ID: 3470652    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/05

IQNA-Watu wanne wamejeruhiwa baada ya polisi nchini Nigeria kuwashambulia Waislamu wa madhehebu ya Shia waliokuwa wakiandamana Ijumaa ya leo katika mji mkuu Abuja.
Habari ID: 3470651    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/04

IQNA-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeazimiakuimarisha uhusiano wake wa kidini na Ghana.
Habari ID: 3470647    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/02

IQNA-Shirika moja la misaada la Qatar limesambaza nakala 80,000 za Qur'ani miongoni mwa Waislamu nchini Tanzania.
Habari ID: 3470645    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/31

IQNA-Maafisa wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki katika Sala ya Ijumaa katika mji mkubwa wa Tanzania, Dar es Salaam.
Habari ID: 3470641    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/29

IQNA-Uislamu ni dini inayoenea kwa kasi zaidi nchini Ireland huku kukiimarishwa jitihada za kuelimisha jamii kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3470640    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/28

Serikali ya India inapanga kupiga marufuku Taasisi ya Utafiti wa Kiislamu (IRF) inayosimamiwa na mhubiri mwenye utata wa pote la Kiwahhabi, Zakir Naik.
Habari ID: 3470639    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/28

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameyataka mataifa ya Kiislamu kushikamana na kusimama kidete mbele ya maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3470638    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/28