ramadhani - Ukurasa 3

IQNA

IQNA – Nchini Oman, nchi ya Kiarabu katika eneo la Asia Magharibi, Ramadhani unajulikana kama mwezi uliopewa kipaumbele kwa ajili ya hisani na matendo mema.
Habari ID: 3480415    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/22

IQNA – Dhifa ya futar imeandaliwa Jumatatu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, kwa ajili ya mabalozi na wawakilishi wa nchi za Kiislamu walioko Tehran. 
Habari ID: 3480401    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/19

IQNA – Hafla ya usomaji wa Qur'ani Tukufu hufanyika kila siku katika misikiti na kumbi za kidini zijulikanazo kama Hussainiya katika eneo la Kashmir linalosimamiwa na India wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mpiga picha ni Ubaid Mukhtar
Habari ID: 3480400    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/19

IQNA – Katika mwezi mtukufu wa Ramadhani, misikiti nchini Kosovo imepiga hatua kubwa katika kufundisha Qur'ani kwa watoto.
Habari ID: 3480376    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/15

Tawakkul katika Qur'ani/1
IQNA – Baadhi ya wataalamu wa lugha wanaamini kuwa neno la Kiarabu 'Tawakkul' linatokana na dhana ya kuonyesha kutoweza na udhaifu katika juhudi za binadamu. 
Habari ID: 3480374    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/15

IQNA – Katika siku kumi za mwanzo za Mwezi Mtukufu Ramadhani, Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al Haram, umepokea zaidi ya waumini milioni 25, idadi ambayo imevunja rekodi ya mahudhurio.
Habari ID: 3480368    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/14

IQNA: Nchini Tanzania, kusadifiana kwa Ramadhani na Kwaresima kwa wakati mmoja kumewaleta Waislamu na Wakristo pamoja, wakishiriki kufunga na kutafakari.
Habari ID: 3480364    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/13

IQNA – Kila nchi ya Kiislamu ina desturi na mila zake linapokuja suala la mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480342    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/10

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 8 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Mahdi Qarasheikhlu, Masoud Nouri, Hossein Fardi, and Saeed Parvizi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.
Habari ID: 3480332    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/09

IQNA – Televisheni ya satelaiti ya Al-Thaqalayn imezindua toleo la pili la mashindano ya usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa Tarteel kuadhimisha mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3480327    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/08

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 7 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Mahdi Qarasheikhlu, Masoud Nouri, Hossein Fardi, and Saeed Parvizi.
Habari ID: 3480325    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/08

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 6 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqari wafuatao kutoka Iran: Mohammadreza Purzargari, Mahdi Qarasheikhlu, na Mohamad Javad Jaberi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.
Habari ID: 3480319    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/07

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 5 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na qarii maarufu wa Iran Ustadh Ahmad Abolghasemi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.
Habari ID: 3480313    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/06

IQNA – Maonyesho ya 32 ya Kimataifa ya Qur'ani jijini Tehran yataangazia ushiriki wa familia na vijana, yakionyesha mafanikio ya Qur'ani nchini Iran, amebaini mkuu wa tukio hilo.
Habari ID: 3480303    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/04

IQNA – Tumekuandalia qiraa ya Tarteel ya Juzuu ya 2 ya Qur’ani Tukufu, ambayo inasomwa na maqarii wanne maarufu wa Iran ambao ni: Saeed Parvizi, Hossein Fardi, Mahdi Gholamnejad, na Jafar Fardi. Jiunge na IQNA kila siku katika mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa safari ya kiroho kupitia Qur’ani Tukufu ili tuweze kuhitimisha pamoja  mwishoni mwa mwezi huu mtukufu.
Habari ID: 3480298    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/03

IQNA-Rais Masoud Pezeshkian wa Iran sambamba na kuwapongeza viongozi na mataifa ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwezi mtukufu wa Ramadhani, ametoa mwito kwa nchi za Kiislamu kuutumia mwezi huu wa baraka kama chachu ya kuimarisha umoja, mshikamano na ushirikiano miongoni mwao.
Habari ID: 3480297    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/03

IQNA – Tamasha la pili la Futari ya Kimataifa litafanyika katika Chuo Kikuu cha Ahl-ul-Bayt (AS) jijini Tehran wiki ijayo.
Habari ID: 3480296    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/03

IQNA – Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyed Ali Khamenei amesema kuwa tiba ya magonjwa yote ya kiroho na kimaadili ya binadamu inapatikana ndani ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3480292    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/03

IQNA – Mamlaka ya Jumla ya Saudia ya Huduma za Mambo ya Msikiti Mkuu wa Makka, Masjidul al Haram na Msikiti wa Mtume, Al Masjid an Nabawi, imetangaza kwamba usajili wa itikafu kwenye maeneo hayo mawili matakatifu utaanza Jumatano, Machi 5.
Habari ID: 3480289    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/02

IQNA – Takriban Wapalestina 70,000 walikusanyika katika eneo la Msikiti wa Al-Aqsa katika mji wa al-Quds (Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu ili kuswali siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu Ramadhani.
Habari ID: 3480287    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/02