qurani - Ukurasa 12

IQNA

Kikao cha kila mwaka wachaposhaji Qur'ani Tukufu barani Afrika kinaanza Alkhamisi hii nchini Sudan.
Habari ID: 3470321   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo Jumatano ameonana na washiriki wa Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yaliyomalizika jana hapa mjini Tehran na kusema kuwa, Qur'ani ndio mhimili wa umoja wa umma wa Kiislamu.
Habari ID: 3470319   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/18

Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka Kenya aliyeshiriki Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran amepongeza kujitokeza kwa wingi wananchi wapendao Qur'ani wa Iran katika ukimbu wa mshindano.
Habari ID: 3470318   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/18

Majaji katika Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran wametangaza kuwa qarii mshiriki kutoka Tanzania amepata nafasi bora zaidi kwa mtazamo wa 'Saut na Lahn' katika usomaji wake wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470317   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/18

Hafidh wa Tanzania
Mwakilishi wa Tanzania katika Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Iran amesema kuwaleta pamoja wanaharakati wa Qur'ani kutoka kila kona ya dunia ni nukta muhimu katika kuimarisha umoja wa Waislamu.
Habari ID: 3470312   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/14

Alhamisi ilikuwa siku ya kwanza ya Mashindano ya 33 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Iran ambapo washiriki 16 waliweza kuonyesha ustadi wao katika kusoma na kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3470309   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/13

Mashindano ya 7 ya kirafiki ya Qur'ani baina ya majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufalme wa Oman yatafanyika hivi karibuni mjini Tehran.
Habari ID: 3470308   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/12

Kongamano la Sita la Kimataifa la Utafiti wa Qur’ani litafanyika London, Uingereza mwezi Juni mwakani.
Habari ID: 3409346   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/29

Ujenzi wa Chuo cha Sayansi za Qur’ani cha Al Hussary umezinduliwa katika mkoa wa Minya nchini Misri.
Habari ID: 3409344   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/29

Mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa ajli ya wanawake yamefanyika Ijumaa hii katika Shule ya Kiislamu ya Beni huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo mkoani Kivu Kusini.
Habari ID: 3329125   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/19

Hafidh wa Qur'ani kutoka Nigeria
'Nyumba yangu ni Madrassah ya Qur'ani na tokea utotoni nimekuwa nikijifunza Qur'ani na nilianza kuihifadhi nikiwa na umri wa miaka 14' anasema Hafidh wa Qur'ani kutoka nchini Nigeria.
Habari ID: 3306135   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/21

Washiri kadhaa wa awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Iran ametembelea Bunge la Iran, Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, siku ya Jumapili.
Habari ID: 3304650   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/18

Wawakilishi kutoka nchi 75 watashiriki katika awamu ya 32 ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3300741   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/14

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Madhehebu ya Kiislamu amewataka Waislamu kuwa macho katika kukabiliana na njama za maadui wa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 2689576   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/09

TEHRAN (IQNA)-Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, yaani bunge la Iran Ali Larijani amesisitiza kuhusu umoja wa Waislamu na kuongeza kuwa tafauti miongoni mwa madhehebu ya Kiislamu si kubwa na kwamba maadui wanatumia tafauti ndogo zilizopo kuibua migogoro miongoni mwa Waislamu.
Habari ID: 2672174   Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/05

Wananchi wa Mauritania wameandamana katika maeneo mbalimbali ya mji mkuu, Nouakchott kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 1383053   Tarehe ya kuchapishwa : 2014/03/04