Kituo cha Utamduni cha Iran nchini Nigeria kinashirikiana na al-Afrikiy Islamic TV kuandaa mashindano ya Qur’ani katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Habari ID: 3470540 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/29
Wafanyakazi wa Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Mfalme Fahd nchini Saudia Arabia wameitisha mgomo kulalamikia ucheleweshwaji mishahara yao.
Habari ID: 3470518 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/12
Mashindano ya 4 ya Qur’ani Tukufu Ulaya Kaskazini yameanza Ijumaa hii katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm.
Habari ID: 3470517 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/12
Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Al Aqsa yanafanyika katika Ukanda wa Ghaza kwa usimamizi wa Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kiislamu Palestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3470512 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/10
Duka moja la bidhaa halali nchini Ufaransa limeonywa kuwa iwapo haliafiki kuuza pombe na nyama ya nguruwe basi litapokonywa leseni na kufungwa.
Habari ID: 3470507 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Kituo cha utamaduni cha Iran nchini Senegal kimeandaa warsha kuhusu kusoma Qur’ani kwa tajwid katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.
Habari ID: 3470506 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Mtoto mwenye umri wa miaka mitatu amefanikiwa kuhifadhi kikamilifu Qur’ani Tukufu katika mji wa Zaria kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3470503 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08
Kozi ya mafunzo ya Kiislamu katika kipindi cha muda mfupi imemamalizika hivi karibuni nchini Uganda kwa kutolewa zawadi kwa wanafunzi bora.
Habari ID: 3470500 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/07
Duru ya tano ya mashindano ya kimatiafa ya Qur’ani ya wanafunzi wa shule yatafanyika nchini Iran mwezi Februari mwaka 2017.
Habari ID: 3470493 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/04
Taasisi ya Kitaifa ya Vitabu Pakistan imezindua kitabu maalumu cha hadithi za Qur’ani maalumu kwa watoto wadogo.
Habari ID: 3470489 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02
Awamu ya kwanza ya mashindano ya kimataifa ya Qur’ani Tukufu maalumu kwa wasichana yamepangwa kufanyika Dubai nchini Imarati kuanzia Novemba 6 hadi 18.
Habari ID: 3470488 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02
Maonyesho ya kwanza na ya pamoja ya Qur’ani ya Iran na Senegal yamefanyika katika Msikiti wa Jamia wa Dakar, mji mkuu wa Senegal.
Habari ID: 3470487 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/02
Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Al Mustafa SAW, tawi la Senegal, kimepanga warsha maalumu ya misingi ya tajweed na usomaji Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3470482 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29
Mashindano ya 6 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu yatakayofanyika Iran yanatazamiwa kuwa na washiriki kutoka nchi Zaidi ya 50.
Habari ID: 3470481 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29
Mashindano ya kitaifa ya kusoma Qur’ani kwa kuzingatia misingi ya Tajweed yamefanyika Palestina kuanzia Julai 24.
Habari ID: 3470476 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/26
Kila wikendi, Waislamu wa kundi la GainPeace, (tupate amani) la Chicago, Marekani hutenga meza ya vitabu ambapo husambaza nakala za Qur'ani na vitabu vigine vya Kiislamu katika mji huo.
Habari ID: 3470466 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/21
Kongamano la Kimataifa kuhusu masomo ya Qur'ani Tukufu limemalizika katika mji wa Manchester nchini Uingereza.
Habari ID: 3470463 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/18
Vijana wasomaji wa Qur'ani kutoka nchi kadhaa za Afrika Mashariki wamekutana Kigali Rwanda na kubainisha wazi kuwa wanapinga idiolojia ya mauaji ya kimbari.
Habari ID: 3470458 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/17
Sheikh Mohammad Hashim Al Hakim, mwanachama wa Jumuiya ya Maulamaa wa Sudan ametahadharisha kuhusu kusambazwa nakala za Qur'ani nchini humo ambazo zina makosa ya chapa.
Habari ID: 3470450 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/12
Nakala 480,000 za Qur’ani Tukufu zimechapishwa nchini Iran katika miezi mitatu ya kwanza ya Kalenda ya Kiirani kuanzia Machi 21 hadi Juni 20.
Habari ID: 3470443 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/10