iqna

IQNA

IQNA-Mwenyekiti wa Jumuiya ya Quraa (Wasomaji) wa Qur’ani Tukufu nchini Misri amesisitiza umuhimu wa kuwafunza watoto Qur’ani wakiwa wangali wachanga.
Habari ID: 3470671    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12

IQNA-Gazeti moja la Misri limemtaja Binti Muirani mwenye umri wa miaka tisa kuwa ‘kompyuta’ kutokana na ustadi wake katika kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3470668    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11

Mashindano ya Qur'ani ya wanafunzi kwa ajili ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Cairo yameanza.
Habari ID: 3470662    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/08

IQNA-Binti Muirani mwenye umri wa miaka 9, Hannaneh Khalfi yuko katika Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE (Imarati) kushiriki mashindano ya Qur’ani ya wanawake.
Habari ID: 3470650    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/04

IQNA-Shirika moja la misaada la Qatar limesambaza nakala 80,000 za Qur'ani miongoni mwa Waislamu nchini Tanzania.
Habari ID: 3470645    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/31

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ameyataka mataifa ya Kiislamu kushikamana na kusimama kidete mbele ya maadui wa Uislamu.
Habari ID: 3470638    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/28

IQNA-Ustadh Bashir Jazairi, msomi bingwa katika vyuo vikuu vya Iran, Iraq na Algeria ambaye pia alikuwa mtangazaji wa radio na televisheni ameaga dunia mjini Tehran akiwa na umri wa miaka 80 kufuatia mshutuko wa ubongo.
Habari ID: 3470633    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/24

Kongamano la Kwanza la Kuchunguza Fikra za Qur'ani za wasomi wa Iran na Senegal limepangwa kufanyika mwezi ujao wa Novemba katika mji wa Thiès magharibi mwa Senegal.
Habari ID: 3470627    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22

Nakala za Qur'ani zilizoandikwa kwa mkono karne saba zilizopita zimeanza kuonyesha katika Taasisi ya Smithsonian, mjini Washington nchini Marekani.
Habari ID: 3470626    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22

Mashindano ya kwanza ya Qur'ani Tukufu kwa wale waliosilimu yamepangwa kufanyika mjini Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu, UAE, (Imarati).
Habari ID: 3470624    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/21

Ubalozi wa Saudia Arabia nchini Morocco umekosolewa vikali na Waislamu baada ya kuenea picha za kuvunjiwa heshima nakala za Qur'ani Tukufu katika ubalozi huo.
Habari ID: 3470597    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/03

Wafanyakazi wa moja ya mashirika makubwa ya eneo la mashariki mwa Saudia wamefanya maandamano kulalamikia kutolipwa misharahara yao.
Habari ID: 3470586    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/29

Kumefanyika mashindano ya adhana katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen wikiendi iliyopita.
Habari ID: 3470580    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/26

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeandaa maonyesho ya Qur'ani Tukufu nchini Sierra Leone magharibi mwa Afrika.
Habari ID: 3470564    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/15

Kituo cha Utamduni cha Iran nchini Nigeria kinashirikiana na al-Afrikiy Islamic TV kuandaa mashindano ya Qur’ani katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Habari ID: 3470540    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/29

Wafanyakazi wa Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Mfalme Fahd nchini Saudia Arabia wameitisha mgomo kulalamikia ucheleweshwaji mishahara yao.
Habari ID: 3470518    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/12

Mashindano ya 4 ya Qur’ani Tukufu Ulaya Kaskazini yameanza Ijumaa hii katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm.
Habari ID: 3470517    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/12

Mashindano ya Kitaifa ya Qur’ani ya Al Aqsa yanafanyika katika Ukanda wa Ghaza kwa usimamizi wa Wizara ya Awqaf na Masuala ya Kiislamu Palestina katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3470512    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/10

Duka moja la bidhaa halali nchini Ufaransa limeonywa kuwa iwapo haliafiki kuuza pombe na nyama ya nguruwe basi litapokonywa leseni na kufungwa.
Habari ID: 3470507    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08

Kituo cha utamaduni cha Iran nchini Senegal kimeandaa warsha kuhusu kusoma Qur’ani kwa tajwid katika mji mkuu wa Senegal, Dakar.
Habari ID: 3470506    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/08