TEHRAN (IQNA)-Mtu asiyejulikana ameuhujumu msikiti nchini Marekani katika jimbo la Arizoni mjini Tucson na kupasua nakala kadhaa za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470900 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/18
IQNA-Kati ya malengo ya mashindano ya Qur'ani ya Waislamu barani Ulaya ni kutafuta na kubaini vipawa vilivyopo vya Qur'ani barani humo.
Habari ID: 3470892 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/13
IQNA: Msomi kutoka Sudan amebainisha masikitiko yake kuwa Waislamu wamepuuza maudhui za kitiba katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470884 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/07
IQNA-Karibu misikiti 30,000 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha harakati maalumu ya kusoma Qur'ani Tukufu iliyopewa jina la 'Tilawat
Habari ID: 3470883 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/07
IQNA-Jumuiya ya Vijana Waislamu huko Canada imepanga maonyesho 100 ya Qur'ani kote katika nchi hiyo katika kampeni ya 'Uislamu Ufahamike'.
Habari ID: 3470880 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/05
IQNA: Qur'ani Tukufu ndicho kitabu kilichouzwa kwa wingi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu, Casablanca, Morocco.
Habari ID: 3470857 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19
IQNA: Washindi wa Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu nchini Iran wametunukiwa zawadi katika hafla iliyofanyika mjini Tehran Ijumaa.
Habari ID: 3470855 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/18
IQNA: Serikali ya Jordan imekosolewa vikali kwa kuondoa zaidi ya aya 290 za Qur'ani Tukufu na Hadithi za Mtume SAW katika vitabu vya shule nchini humo.
Habari ID: 3470837 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/07
IQNA-Mashindano ya 31 ya Kitaifa ya Qur'ani nchini Nigeria yameanza Ijumaa katika mji wa Ilorin jimboni Kwara magharibi mwa nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
Habari ID: 3470833 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/04
IQNA-Ashraf al-Taish qarii wa Qur'ani Tukufu kutoka Misri ameibuka miongoni mwa wasomaji bora wa Qur'ani katika nchi hiyo ambayo ni chimbuko la wasomaji bora zaidi wa Qur'ani duniani.
Habari ID: 3470826 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/01
IQNA-Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha ya Kiyao imezinduliwa ncchini Malawi siku ya Jumamosi.
Habari ID: 3470771 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/01
IQNA-Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeutangaza mji wa Shiraz kusini mwa Iran kuwa mji mkuu wa vijana katika Ulimwengu wa Kiislamu mwaka 2017.
Habari ID: 3470769 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/31
IQNA: Kongamano la Pili la Kimataifa la "Elimu ya Kiislamu na Utafiti wa Qur'ani na Hadithi za Mtume SAW" limepangwa kufanyika mjini Mataram, Indonesia Machi 2017.
Habari ID: 3470762 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/26
IQNA-Duru ya tano ya mkutano wa kimataifa wa 'Upeo wa Miujiza ya Qur'ani Tukufu' umepengwa kufanyika mwezi Aprili nchini Misri.
Habari ID: 3470761 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/26
IQNA-Awamu ya 12 ya Mashindano ya Kila Mwaka ya Qur’ani ya Amerika Kaskazini yamepangwa kufanyika mjini Toronto, Canada mwaka 2017.
Habari ID: 3470752 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/21
IQNA-Kituo cha Kuhifadhi Qur'ani Tukufu Gambia (GQMC) kinachofungamana na Chuo Kikuu cha Kiislamu cha Intaneti cha Gambia kimeandaa masomo ya kuhifadhi Qur'ani kupitia intaneti kwa lengo la kutoa mafunzo kwa Waislamu kona zote za dunia.
Habari ID: 3470742 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/14
Kiongozi Muadhamu:
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, njia bora kabisa ya kuwa karibu na Mwenyezi Mungu ni kushikamana na Sala na kusoma Quráni.
Habari ID: 3470741 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/14
IQNA-Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka nchini Kuwait ametangazwa mshindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yaliyopewa jina la 'Bingwa wa Mabingwa' nchini Qatar.
Habari ID: 3470723 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/08
IQNA-Wapalestina 16 katika familia moja wamehifadhi Qur'ani kikamilifu katika Ukanda wa Ghaza
Habari ID: 3470696 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/24
IQNA-Tafsiri ya Qur’ani Tukufu ya lugha ya ishara kwa ajili ya viziwi imezinduliwa katika Maonyesho ya 35 ya Kimataifa ya Vitabu ya Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati)
Habari ID: 3470672 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/12