qurani - Ukurasa 11

IQNA

Sheikh Mohammad Hashim Al Hakim, mwanachama wa Jumuiya ya Maulamaa wa Sudan ametahadharisha kuhusu kusambazwa nakala za Qur'ani nchini humo ambazo zina makosa ya chapa.
Habari ID: 3470450   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/12

Nakala 480,000 za Qur’ani Tukufu zimechapishwa nchini Iran katika miezi mitatu ya kwanza ya Kalenda ya Kiirani kuanzia Machi 21 hadi Juni 20.
Habari ID: 3470443   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/10

Shirika la Kutoa Misaada la Kutoa Misaada ya Kibinadamu Qatar (RAF) limefungua kituo kipya cha kuhifadhi kiitwacho "Al Rahmah" Qur'ani Tukufu kaskazini mashariki mwa Kenya.
Habari ID: 3470421   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/28

Mashindano ya 17 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Mashariki mwa Afrika yamemalizika Jumatatu 20 Juni nchini Djibouti.
Habari ID: 3470412   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/23

Awamu ya 24 ya Mashindano ya Qur'ani ya nchi za Afrika Magharibi yamefanyika nchini Senegal.
Habari ID: 3470411   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/23

Mashindano ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu yamefanyika hivi karibuni nchini Liberia katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470402   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20

Utawala wa kiimla wa ukoo wa Aal Khalifa nchini Bahrain umevuna Jumuiya ya Qur'ani nchini humo kwa madai kuwa eti imekiuka sheria.
Habari ID: 3470399   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/20

Shirika la moja la mafuta nchini Indonesia linawapa wenye magari petroli ya bure katika mji mkuu Jakarta kwa sharti la kusoma aya za Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3470395   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/18

Waziri wa Utamaduni na Muongozi wa Kiislamu Iran Ali Jannati amefungua Maoneysho ya 24 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu mjini Tehran Jumatatu usiku.
Habari ID: 3470385   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/14

Kampeni ya kitaifa ya Qur'ani Tukufu na umaanawi inaendelea kote nchini India katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470380   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/12

Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imemandaa vikao 400 maalumu vya usomaji Qur'ani kote Iran katika mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3470375   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11

Mashindano ya Nne ya Kimataifa ya Qur'ani yameanza leo Ijumaa katika mji wa Istanbul.
Habari ID: 3470374   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/10

Waziri wa Mashauri ya Kigeni Iraq, Ibrahim Jafari amesema magaidi wa ISIS (Daesh) wanatega mabomu ndani ya nakala za Qur'ani Tukufu ili kuzuia jeshi la Iraq kuingia mji wa Fallujah.
Habari ID: 3470373   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, umaridadi na ujamali uliomo katika maneno ya Qur'ani Tukufu ni muujiza na ni mlango wa kuvutiwa na mafundisho aali na yenye maana pana ya aya hizo.
Habari ID: 3470368   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/08

Mashindano ya 16 ya Kitaifa ya Qur'ani Tukufu miongoni mwa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Bahraq yamepangwa kufanyika wiki chache zijazo.
Habari ID: 3470359   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/05

Maonyesho ya 24 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu yanatazamiwa kuanza mjini Tehran katika siku ya kwanza ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3470349   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/31

Idara ya Utamaduni ya Iran nchini Uganda imefadhili mashindano ya Qur'ani Tukufu katika Televisheni ya Kitaifa ya Uganda, UBC.
Habari ID: 3470342   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/28

Waziri Mkuu wa India Narendra Modi amemzawadia Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Khamenei nakala ya kale ya Qur'ani inayonasibishwa na Imam Ali Ali AS.
Habari ID: 3470333   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/24

Wafanyakazi Waislamu katika Uwanja wa Kimatiafa wa Ndege wa Charles de Gaulle mjini Paris, Ufaransa wamekatazwa kuwa na nakala za Qur'ani wakiwa kazini huku wanaokataa kunyoa ndevu wakichukuliwa hatua.
Habari ID: 3470329   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/23

Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Tunisia mwaka huu hayatafanyika kutokana na ukosefu wa bajeti.
Habari ID: 3470328   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/23