IQNA – Hizbullah imepanga kufanya mazishi ya Katibu Mkuu wake , Hizbullah Sayed Hassan Nasrullah , pamoja na Mkuu wa Baraza lake la Utendaji, Shahidi Hashem Safiyyuddin, Februari 23, 2025.
Habari ID: 3480151 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/03
TEHRAN (IQNA)-Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amekanusha vikali ripoti ya baadhi ya vyombo vya habari inayodai kuwa wapiganaji kadhaa na washauri wa kijeshi wa harakati hiyo ya muqawama wapo Ukraine kupigana katika safu moja na wananajeshi wa Russia.
Habari ID: 3475052 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/19
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani inalitumia kundi la kigaidi la Daesh kuligawa eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3344476 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/15
Sayyid Hassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, nchi ambazo ziliwapeleka magaidi nchini Syria ili wakauangushe utawala na muqawama wa nchi hiyo hivi sasa zinaeelekea kushindwa.
Habari ID: 3335403 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/26
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah amesema Iran ndio nchi pekee inayounga mkono ukombozi wa ardhi zote za Palestina na Quds Tukufu.
Habari ID: 3326617 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/11
Sayyid Hassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha Lebanon ameishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Syria kwa kuuunga mkono muqawama katika kupambana na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3307601 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/25
Sayyid Hassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Saudi Arabia haijafikia malengo yake katika uvamizi wa kijeshi ilioanzisha huko Yemen.
Habari ID: 3262998 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/05/06
Sayyid Hassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, harakati za kundi la kitakfiri na kigaidi la Daesh (ISIS) zinatekeleza kikamilifu malengo ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 2862976 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/02/17
Sayyid Hassan Nasrullah
Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha nchini Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah , amesema kuwa, harakati hiyo imejiandaa kikamilifu kukabiliana kwa aina yoyote na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kwamba haiwezekani utawala huo uue watu kisha uishi salama.
Habari ID: 2790516 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/31
Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha nchini Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah , amesema kuwa vitendo vinavyofanywa na makundi ya kigaidi na kitakfiri, ninamtukanisha Mtume Muhammad SAW, Qur'ani na umma wa Kiislamu.
Habari ID: 2692014 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/10
Katibu Mkuu wa Harakatiya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa, machafuko na migogoro inayoendelea kushuhudiwa katika eneo la Mashariki ya Kati haifungamani kabisa na Ushia wala Usuni, bali ni mkakati maalumu wa Marekani wenye lengo la kutaka kulidhibiti eneo hili nyeti.
Habari ID: 1470085 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/11/04
Sayyid Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa watu wanaofikiri kwamba kwa kuanzisha vita vya kisaikolojia na vitisho wataweza kuzuia kufanyika maombolezo ya Aba Abdillah Imam Hussein AS wanajidanganya, kwani vitisho hivyo havitawatenganisha na Imam Hussein AS.
Habari ID: 1463834 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/26