iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Hayya Alal Falah ni sehemu ya Adhana au wito wa Sala katika Uislamu na maana yake ni Haya njooni kwenye kufaulu, mafanikio au wokovu.
Habari ID: 3475252    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/15

TEHRAN (IQNA)- Aplikesheni maalumu ambayo inawasiadia Waislamu kuhitimisha Qur'ani Tukufu imezinduliwa hivi karibuni nchini Kuwait.
Habari ID: 3475250    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/14

TEHRAN (IQNA) – Mwanachuoni wa kidini alisema Allamah Seyed Mohammad Hossein Tabatabaei alifungua njia mpya katika tafsiri ya Kurani Tukufu.
Habari ID: 3475242    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/12

TEHRAN (IQNA)- Wakazi wa kijiji cha Al-A'aija nchini Algeria wamemkaribisah kwa furaha Faisal Hajjaj, mkazi wa kijiji hicho ambaye aliibuka wa kwanza kitaifa katika mashindano ya kitaifa ya Qur'ani ya watoto.
Habari ID: 3475236    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/11

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur’ani kupitia mitandao ya kijamii yamefanyika nchini Tanzania kwa himya ya Kituo cha Utamaduni cha Iran mjini Dar es Salaam ambapo washindi wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3475231    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/10

TEHRAN (IQNA)- Nakala ya Qur'ani Tukufu iliyofasiriwa kwa lugha ya Kichina inahifadhiwa katika Kituo cha Bait-ul-Qur'an nchini Bahrain.
Habari ID: 3475229    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/09

TEHRAN (IQNA)-Utumizi wa neno 'Insallah' (Mungu Akipenda) umeenea sana miongoni mwa Waislamu kote duniani.
Habari ID: 3475221    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/08

TEHRAN (IQNA)- Fainali ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu ya mabarobaro imemalizija Jumatatu wiki hii nchini Zambia.
Habari ID: 3475207    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/05

TEHRAN (IQNA)- Mohamed Ibrahim Ahmed Ghanim ni kijana Mmisri aliyeibuka mshindi katika shindano la qiraa katika Mashindano ya 22 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Tanzania mwaka huu.
Habari ID: 3475199    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02

QOM (IQNQ) - Kikao cha mwisho cha kisomo cha Qur'ani Tukufu cha tarteel kimefanyika Jumapili katika Haram Takatifu ya Bibi Maasoumah mjini Qum. Siku Kuu ya Idul Fitr itaadhimishwa nchini Iran Jumanne.
Habari ID: 3475197    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02

TEHRAN (IQNA) – Zaidi ya watu 40,000 kutoka nchi mbali mbali duniani wametembelea Maonyesho ya Qur'ani Tukufu ambayo yamefanyika kaitka ukumbi wa Four Points wa Hoteli ya Sheraton Al Naseem katika mji mtakatifu wa Makka nchini Saudia.
Habari ID: 3475196    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02

TEHRAN (IQNA)- Sherehe za kufunga Mashindano ya Nane ya Qur'ani Barani Ulaya zimefanyika wikiendi hii.
Habari ID: 3475195    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/02

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya Misahafu 50,000 imesambwazwa kwa waumini waliofika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid Al Haram kwa ajili ya Umrah au Hija ndogo wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475194    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/01

TEHRAN (IQNA) - Kutawassuli maana yake ni mwanadamu afanye kiungo kati yake na Mwenyezi Mungu ili akidhiwe haja yake kwa sababu ya kiungo hicho
Habari ID: 3475193    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/01

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya kuhifadhi Qur'ani Tukufu yamefanyika nchini Ghana ambapo yamewashirikisha wanafunzi 60 wa vyuo vikuu.
Habari ID: 3475188    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/30

TEHRAN (IQNA) – Abdulwahab Ciccarello ametafsiri Qur'ani Tukufu kwa Kiitaliano na anasema msukumo wake ulikuwa kutoa tafsiri ambayo imezingatia mtazamo wa Kiislamu.
Habari ID: 3475167    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/25

“ Laylatul Qadri (Usiku wa Cheo Kitukufu) ni bora kuliko miezi elfu”. Hii aya ya 3 ya Surat Al-Qadr katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3475158    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/23

TEHRAN (IQNA)- Msomi mmoja wa Iraq ametoa wito kwa jamii ya kimataifa na nchi za Kiislamu kuchukua hatua za kuzuia vitendo vya kuvunjia heshima dini na matukufu ya kidini.
Habari ID: 3475149    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/21

TEHRAN (IQNA)- Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa wito kwa Umma mzima wa Kiislamu kuanzisha harakati kubwa zaidi dhidi ya kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani nchini Sweden.
Habari ID: 3475143    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/19

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Vituo vya Kiislamu Ulaya imelaani kitendo cha kuvunjiwa heshim Qur'ani Tukufu nchini Sweden hivi karibuni.
Habari ID: 3475139    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/18