iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Qur’ani Tukufu cha Al Sidra katika Ukanda wa Ghaza kimeandaa mahafali ya kuhitimu kundi la vijana waliohitimu kuhifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474926    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/13

TEHRAN (IQNA)- Ragheb Mustafa Ghalwash alikuwa mmoja kati ya wasomaji bora zaidi wa Qur'ai nchini Misri na ametajwa kuwa qarii kijana zaidi wakati wa 'zama za dhahabu' katika qiraa ya Qur'ani Tukufu nchini Misri.
Habari ID: 3474890    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/04

TEHRAN (IQNA)-Msomi maarufu wa Misri Sheikh Salah Abdul Fattah al Khaledi, msomi mwandamizi wa Palestina katika uga wa sayansi za Qurani na tafsiri amefariki dunia.
Habari ID: 3474866    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/29

TEHRAN (IQNA)-Nakala ya majaribio ya Qur'ani Tukufu iliyoandikwa kwa maandishi ya nukta nundu (braille) katika Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar imezinduliwa katika Maoneysho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3474859    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/28

TEHRAN (IQNA)- Kituo cha Qur'ani Tukufu kinachofungamana na Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS nchini Iraq imezindua applikesheni mpya ya simu za mkononi ambayo inawasaidia wanafunzi kuhifadhi Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474856    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26

TEHRAN (IQNA)- Duru ijayo ya Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Saudi Arabia itafanyika mwezi Septemba mwaka huu.
Habari ID: 3474854    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/26

TEHRAN (IQNA)-Idara ya Masuala ya Kidini Uturuki (Diyanet) imetangaza mpango wa kuongeza idadi ya waliohifadhi Qur’ani Tukufu nchini humo.
Habari ID: 3474848    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/24

TEHRAN (IQNA) – Shule za Qur'ani zimefungwa kwa muda wa siku 10 kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ya COVID-19.
Habari ID: 3474835    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/22

TEHRAN (IQNA)- Kongamano la kimataifa la kujadili mfumo na nidhamu ya pamoja ya majaji wa mashindano ya kimataifa ya Qur’ani limemalizika Alhamisi katika mji wa Karbala nchini Iraq.
Habari ID: 3474834    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/21

TEHRAN (IQNA)- Kikao cha kumuenzi qarii maarufu wa Misri Marhum Mohammad Siddiq El-Minshawi kimefanyika kwa njia ya intaneti kwa hisani ya Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA) na Taasisi ya Iran ya Ahsan ul Hadith.
Habari ID: 3474828    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19

TEHRAN (IQNA)- Wasomaji Qur'ani wanne Wairani wamesoma pamoja aya za 6 na 7 za Surah al Infitar.
Habari ID: 3474824    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/19

TEHRAN (IQNA)- Maonyesho kuhusu uchapishaji Qur'ani Tukufu yamezinduliwa Riyadh, mji mkuu wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3474815    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/16

TEHRAN (IQNA)- Watu wa Morocco wametoa wito kwa Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu nchini humo irejeshe Misahafu katika misikiti ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474805    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/14

TEHRAN (IQNA)- Wafungwa wapatao 608 huko Dubai katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) wamefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Habari ID: 3474801    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/13

TEHRAN (IQNA)- Wasomaji Qur'ani Sayyid Mustafa Husseini na Sayyid Jasim Mousavi wamesambaza klipu inayonyesha wakiwa wanasoma aya za Sura Ad Dhuha kwa pamoja kwa mtindo wa qarii mashuhuri wa Misri marhum Sheikh Mohammad Siddiq El Minshawi.
Habari ID: 3474768    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/05

Mtaalamu mmoja wa Qur'ani Tukufu nchini Algeria amesema kuwa wakoloni walitekeleza njama za makusudi za kudhoofisha nafasi na hadhi ya Qur'ani barani Afrika.
Habari ID: 3474758    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/01/03

TEHRAN (IQNA)- Roa'a al Sayyed, msichana mwenye umri wa miaka 11 aliye naulemavuu wa macho nchini Misri amefanikiwa kuhifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu kwa muda wa miezi 18.
Habari ID: 3474744    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Wasomaji Qur'ani Tukufu Misri imeitisha mkutano hivi karibuni ambapo imeamuliwa kuwa wananchama wote wapya wanapaswa kuwa wamehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3474742    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni mwandamizi nchini Iran amesema Qur'ani Tukufu ni muujiza wa kudumu.
Habari ID: 3474740    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/29

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Kuwait imeandaa mashindano ya mabingwa wa Qur’ani katika kategoria za wanawake na wanaume.
Habari ID: 3474714    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/23