Habari ID: 3474711 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/23
TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya Misahafu ya kale yanafanyika katika mjini Sharjah Umnoja wa FALME ZA Kiarabu (UAE) katika Chuo kikuu cha Sharjah, Tawi la Kalba.
Habari ID: 3474708 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/22
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Kidini katika Bunge la Misri limeanza kujadili pendekezo la kuandika tafsiri mpya ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474707 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/22
TEHRAN (IQNA) – Duru ya kwanza ya mashindano yay a kitaifa ya wanawake itafanyika nchini Kyrgyzstan.
Habari ID: 3474698 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/20
TEHRAN (IQNA)- Qarii maarufu wa Misri Abdul Fattah Tartouti amesimulia kisa cha ajabu cha qarii mwenzake marhum Muhammad al-Laythi.
Habari ID: 3474693 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/19
TEHRAN (IQNA)- Chombo cha kidijitali chenye Qur'ani Tukufu na tafsiri katika maandishi ya nukta nundu au braille kimeundwa Saudi Arabia kwa ajili ya wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3474689 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/18
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Taha la Fashni alikuwa qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu na alikuwa pia ni mfuasi wa qiraa ya Sheikh Mustafa Ismail.
Habari ID: 3474672 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14
TEHRAN (IQNA)- Mahafali ya kuhitimu mamia ya wanafunzi walioifadhi Qur'ani Tukufu imefanyika kaskazini mashariki mwa Uturuki katika mkoa wa Rize.
Habari ID: 3474668 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/12
TEHRAN (IQNA)- Qarii wa kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mahdi Ghulamnejad amesambaza klipu inayomuonyesha yeye na mwanae wakisoma pamoja sehemu ya Sura Al Balad katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474636 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04
TEHRAN (IQNA) – Mwanae qarii mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri Sheikh Abdul Basit Abdulswamad amesema baba yake alikuwa na sauti ambayo mbali na Waislamu inawavutia pia wasiokuwa Waislamu.
Habari ID: 3474626 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/01
Leo katika historia
TEHRAN (IQNA)- atika siku kama ya leo miaka 33 iliyopita, aliaga dunia katika mji wa Cairo Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Samad, mmoja wa waalimu na maqarii wakubwa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474621 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30
TEHRAN (IQNA)- Katika mitandao ya kijamii kumesambaa kilpu ya Qarii Abdullah Khaled wa Pakistan akiwa anasoma aya za Surah Ibrahim.
Habari ID: 3474610 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28
TEHRAN (IQNA)- Warsh ya kujadili 'Hali ya Qiraa na Tajwid ya Qur'ani Tukufu Barani Afrika' imepangwa kufanyika wiki ijayo kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474600 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25
TEHRAN (IQNA)- Taha Ezzat ni kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka mkoa wa El Beheira Misri na amepata umashuhuri Misri na duniania kutokana na qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474594 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23
TEHRAN (IQNA)- Vituo vya kuwafunza waalimu wa Qur'ani nchini Misri vinatazamiwa kuanza tena shughuli zao baada ya kufungwa kwa mwaka moja.
Habari ID: 3474579 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19
TEHRAN (IQNA)- Lugha ya Kalenjin nchini Kenya inakadiriwa kuwa na wazungumzaji milioni 6.3 na sasa jamii hiyo kubwa kwa mara ya kwanza imepata Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha yao.
Habari ID: 3474557 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA)- Dini tukufu ya Kiislamu inawahimiza waumini kujiepusha na israfu hasa katika chakula kwani huku Waislamu wakiwa kuwasaidia wasiojiweza katika jamii.
Habari ID: 3474554 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14
TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya watoto Wapalestina yameanza Jumatano katika mji wa Quds (Jerusalem) na Ukingo wa Magharibi.
Habari ID: 3474543 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11
TEHRAN (IQNA)- Naibu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri amewaenzi na kuwatunuku zawadi wanafunzi walioshika nafasi za juu katika mashindano ya hivi karibu ya Qiraa ya Qur'ani Tukufu na Ibtihal.
Habari ID: 3474540 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/11
TEHRAN (IQNA)- Televisheni moja ya Misri inayorusha matangazo kwa njia ya sataliti ina kipindi maalumu ambacho kinajumuisha qiraa ya Qur'ani tukufu ya wasomoaji kutoka nchi mbali mbali.
Habari ID: 3474532 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09