TEHRAN (IQNA)- Wasomaji wawili maarufu wa Qur'ani Iraq, Ali Al Khafafi na Hani al Khazali hivi karibuni wamesambaza klipu wakiwa wanasoma Sura Al Fatiha na Sura Ad Dhuha kwa mbinu ya Lami Maqam
Habari ID: 3474531 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/09
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar umeanza tena vdarsa za Qur'ani za kuhudhuria ana kwa ana baada ya marufuku yam waka moja na nusu kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3474513 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/04
TEHRAN (IQNA)-Kituo cha Qur’ani Tukufu kinachofungamana na Idara ya Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Ali AS huko Najaf, Iraq kimeandaa mafunzo ya Qur’ani kwa ajili ya wanawake.
Habari ID: 3474501 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/01
TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Qatar imesema wanafunzi wa kiume wanaweza kurejea tena katika vituo vya kufunza Qur'ani Tukufu misikitini kuanzia Novemba Mosi.
Habari ID: 3474492 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/30
TEHRAN (IQNA)- Sherehe kubwa imefanyika Jumatano usiku katika Ukanda wa Ghaza huko Palestina kuwaenzi wasichana na wavulana 1,000 ambao wamehifadhi Qur'ani hivi karibuni.
Habari ID: 3474489 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/29
TEHRAN (IQNA)- Msomi wa Kiislamu nchini Misri amesema Uislamu unalipa umuhimu mkubwa suala la kulinda maeneo ya ibada hata yale ambayo si ya Waislamu.
Habari ID: 3474470 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/25
TEHRAN (IQNA)- Qarii Mashuhuri wa Misri Sheikh Mahmoud Shahat hivi karibuni alisoma aya za Qur’ani katika sherehe iliyofanyika kwa mnasaba wa Milad un Nabi au maadhimisha ya kukumbuka kuzaliwa Mtume Muhammad SAW.
Habari ID: 3474466 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/24
Kwa mnasaba wa Maulidi
TEHRAN (IQNA)- Tuko katika siku tukufu za kuadhimisha Maulid ya Mtume Mtukufu wa Uislamu Mohammad al Mustafa SAW, siku ambazo ni maarufu kama Maulidi.
Habari ID: 3474443 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/19
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua watatu wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika maandamano ya kulaani kitendo cha kuvunjiwa heshima Qur'ani Tukufu nchini Bangladesh.
Habari ID: 3474423 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/14
TEHRAN (IQNA)- Najmu Saqib ni qarii ambaye usomaji wake wa Qur'ani Tukufu umepata umashuhiri katika nchi yake na maeneo mengine duniani.
Habari ID: 3474403 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09
TEHRAN (IQNA)- Watu 100 waliohifadhi Qur’ani Tukufu nchini Misri katika mji wa Al-ʾIskandariyah (Alexandria) wameenziwa na kutunukiwa zawadi baada ya mashindani makubwa ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474398 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/08
TEHRAN (IQNA)- Ahmed Garg Rupari, Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Ubunifu ya Manispaa ya Al Rahmaniya katika mji wa Sharjah huko Umoja wa Falme za Kiarabu ametangaza kuzinduliwa mashindano ya Qur’ani yaliyopewa jina la ‘Soma Qur’ani.”
Habari ID: 3474381 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/04
TEHRAN (IQNA)- Mahmoud Yusuf ni mvulana mwenye umri wa miaka sita kutoka Libya ambaye ana ustadi mkubwa katika kusoma Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474378 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/04
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameitunuku familia ya shujaa shahidi Landi zawadi ya Qur’ani Tukufu kutokana na kitendo cha kishujaa cha kijana huyo cha kuokoa maisha ya wanawake wawili hivi karibuni.
Habari ID: 3474374 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/03
TEHRAN (IQNA)- Binti Mmisri ameshinda mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Qur’ani ambayo yameandaliwa na Kituo cha Kiislamu cha Al Azhar nchini humo.
Habari ID: 3474364 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/30
TEHRAN (IQNA)- Sambamba na siku za Arubaini ya Imam Hussein AS, wasomaji Qur’ani Tukufu katika ngazi ya kimataifa wameshiriki katika vikao vya kusoma Qur’ani ambavyo vimeandaliwa na Shirika la Habari la IQNA chini ya kaulimbiu ya ‘Ya Hussein katika Mazingira ya Qur’ani’.
Habari ID: 3474357 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/29
TEHRAN (IQNA)- Abdullah Ammar Mohammad al-Sayyed ni kijana Mmisri mwenye ulemavu wa macho ambaye alifanikiwa kuhifadhi Qur’ani Tukufu katika kipindi cha miezi mitatu tu.
Habari ID: 3474352 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/28
TEHRAN (IQNA)- Vijana Wapalestina wapatao 140 ambao wamehifadhi Qur’ani Tukufu wameshiriki katika matembezi huko katika Ukanda wa Ghaza.
Habari ID: 3474338 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/25
TEHRAN (IQNA)- Ufalme wa Saudi Arabia umeandaa uchunguzi wa maoni kuhusu kupiga marufuku somo la Qur’ani katika vyuo vikuu vya nchi hiyo jambo ambalo limeibua mijadala mikali katika mitando ya kijamii.
Habari ID: 3474327 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/22
TEHRAN (IQNA) – Hafla imefanyika katika mji wa Khan Yunis katika eneo la Palestina la Ukanda wa Ghaza kwa lengo la kuwaenzi wanafunzi waliohifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474321 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/21