iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) – Darul Iftaa ya Misri imetangaza marufuku ya kuandika aya za Qur'ani Tukufu kwa alfabeti za kilatini.
Habari ID: 3474316    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/20

TEHRAN (IQNA)- Duru ya Tano ya Kozi Maalumu ya Kanuni za Tilawa ya Qur’ani Tukufu inafanyika nchini Mali kwa himaya ya Kituo cha Darul Qur’an cha Mfawidhi wa Haram Takatifu ya Imam Hussein AS.
Habari ID: 3474306    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/17

TEHRAN (IQNA)- Sherehe imefanyika katika kijiji kimoja kaskazini mwa Misri kuwaenzi wanafunzi waliohifadhi Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474285    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/12

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Kuchapisha Qur’ani Tukufu nchini Kuwati imechapisha Juzuu ya 30 ya Qur’ani Tukufu kwa hati za Baraille au maandishi nukta nundu.
Habari ID: 3474279    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/09

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Jordan wa Wakfu, Masuala ya Kiislamu na Maeneo Matakatifu amesema kuna zaidi ya vituo 2,000 vya Qur'ani vinavyotumika wakati wa msimu wa joto nchini humo.
Habari ID: 3474264    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/06

TEHRAN (IQNA)- Taasisi ya Dar Al-Quran na Al-Sunnah ya Ukanda wa Ghaza zimefanya matembezi makubwa ya watoto wa Qur'ani katika kambi ya Nuseirat katikati mwa eneo hilo
Habari ID: 3474261    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/05

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Murad Sabati ni qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu nchini Algeria ambaye ana sauti nzuri.
Habari ID: 3474251    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/02

TEHRAN (IQNA)- Msahafu ambao umetajwa kuwa mkubwa zaidi duniani utaonyeshwa katika maonyesho ya Expo 2020 Dubai ambaye yanatazamiwa kuanza mjini humo baadaye mwezi Oktoba.
Habari ID: 3474242    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/31

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Masuala ya Kidini Katika Ofisi ya Rais wa Uturuki (Diyanet) imetangaza kuwa karibu watoto milioni 2 walifaulu katika kozi za kuhifadhi Quran zilizofanyika kote nchini.
Habari ID: 3474226    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/25

TEHRAN (IQNA) - Mkurugenzi mpya wa Idhaa ya Qur'ani ya Radio ya Misri alisema programu maalum itarushwa na idhaa hiyo siku za usoni ambayo inaangazia qiraa nadra za Qur'ani ambazo ni za wasomaji Wamisri.
Habari ID: 3474222    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/24

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Sultan Bin Mohammed Al Qasimi, Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na Mtawala wa Sharjah, amekabidhi nakala nne nadra za nakala za Qur'ani Tukufu kwa Akademia ya Qur'ani Tukufu mjini Sharjah.
Habari ID: 3474220    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/23

TEHRAN (IQNA) - Kikao cha kusoma Qur'ani Tukufu kitafanyika Alfajiri ya Siku ya Ashura katika msikitini katika eneo la Rey mjini Tehran.
Habari ID: 3474199    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/17

TEHRAN (IQNA) - Shughuli za juu za Qur'ani za Waislamu wa madhehebu ya Shia katika sehemu tofauti za ulimwengu zimearifishwa katika sherehe ya kufunga toleo la kwanza la "Tuzo ya Ulimwengu 114".
Habari ID: 3474180    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/11

TEHRAN (IQNA) - Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Vijana, Michezo nchini Mauritania ametangaza kufunguliwa vituo vya kurekodi na kusambaza qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa sauti ya wasomaji wa Mauritania.
Habari ID: 3474169    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/07

TEHRAN (IQNA)- Waziri wa Wakfu nchini Sudan amesisitiza umuhimu wa kufundisha sayansi ya dini na ufahamu wa Qur'ani shuleni.
Habari ID: 3474158    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/04

TEHRAN (IQNA)- Binti mmoja nchini Misri ambaye sasa ana umri wa miaka 11 aliweza kuhifadhi Qur’ani Tukufu kikamilifu akiwa na umri wa miaka 7.
Habari ID: 3474152    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/02

TEHRAN (IQNA) – Tarjuma za Qurani Tukufu kwa lugha za Kiswahili na Kiindonesia ni kati ya vitaby vipya ambavyo vimewasilishwa katika Maoneysho ya Kimataifa ya Vitabu ya Cairo.
Habari ID: 3474093    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/12

TEHRAN (IQNA) - Kongamano la 14 la Umoja wa Kiislamu limefanyika London, Uingereza Ijumaa Julai 9.
Habari ID: 3474088    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/10

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Masuala ya Kidini Algeria imeandaa darsa maalumu ya kuhifadhi Qur'ani kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474081    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/08

TEHRAN (IQNA)- Qarii Yassri al Araq wa Iraq hivi karibuni alisoma aya za Qur’ani katika sherehe za kuadhimisha kuanzishwa Jeshi la Kujitolea la Wananchi maarufu kama al Hashd al Shaabi.
Habari ID: 3474078    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/07