iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Chuo Kikuu cha Al Azhar kimewatunuku Qur'ani Tukufu wageni katika Maonyesho ya 52 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Cairo, Misri.
Habari ID: 3474072    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/05

TEHRAN (IQNA)- Idara ya Mfawidhi wa Haram ya Hadhrat Abbas AS huko Karbala, Iraq imeandaa warsha ya qiraa ya Qur'ani Tukufu kwa ajili ya wanafunzi Waafrika wanaosoma katika vyuo vya Kiislamu (Hawza) mjini humo.
Habari ID: 3474060    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/01

TEHRAN (IQNA)- Kumekuwa na ongezeko la asilimi 20 la Misahafu iliyochapishwa nchini Iran katika mwaka huu wa Kiirani wa Hijria Shamsia ulioanza Machi 21.
Habari ID: 3474034    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/23

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Masuala ya Kiislamu katika Ufalme wa Saudi Arabia imetangaza ksambaza nakala milioni moja za Qur'ani Tukufu ambazo zimetarjumiwa kwa lugha 10. 
Habari ID: 3474000    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/12

TEHRAN (IQNA) – Mp3Quran ni tovuti kubwa zaidi ya kupakua au kudownload tilawa ya Qur'ani Tukufu ya wasomaji mbali mbali duniani.
Habari ID: 3473991    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/09

TEHRAN (IQNA)- Aplikesheni mpya ya Qur'ani iliyopewa jina la 'Ayatul Ahkam' imezinduliwa hivi karibuni nchini Kuwait.
Habari ID: 3473990    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/08

TEHRAN (IQNA)- Washindi wa mashindano ya Qur’ani yaliyofanyika hivi karibuni nchini Uganda wametunukiwa zawadi.
Habari ID: 3473966    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31

TEHRAN (IQNA)- Hivi karibuni kumesambaa klipu ya qarii Muirani, Mehdi Adeli, akisema aya za Qur'ani Tukufu nchini Uturuki.
Habari ID: 3473951    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/27

TEHRAN (IQNA) –Qarii maarufu wa Qur'ani Tukufu kutoka Iran Ustadh Hamed Shakernejad alitembelea Ujerumani katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani mwaka 2019.
Habari ID: 3473923    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/18

TEHRAN (IQNA)- Mwambata wa Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania ametangaza kuanzishwa kanali ya YouTube ya kufunza Qur’ani Tukufu kwa wazungumzao lugha ya Kiswahili.
Habari ID: 3473921    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/17

TEHRAN (IQNA)- Surah Al-Qadr ni ya 97 katika Qur'ani Tukufu na ina aya 5.
Habari ID: 3473883    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/06

TEHRAN (IQNA)- Radio ya Qur'ani mjini Sharjah katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imeandaa mashindano ya Qur'ani Tukufu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473876    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/04

TEHRAN (IQNA)- Qarii mashuhuri wa Iran, Sayyed Javad Hussein amewahi kualikwa maeneo mbali mbali duniani katika vikao vya Qur'ani Tukufu na moja ya nchi hizo ni Bangladesh.
Habari ID: 3473875    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/04

TEHRAN (IQNA)- Haram Takatifu ya Hadhrat Abdul Adhim Hassani (AS) katika eneo la Rey, kusini mwa Tehran imeandaa vikao vya amali katika usiku kwa kwanza wa Laylatul Qadr katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473868    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/02

TEHRAN (IQNA) - Tunaingia kumi la mwisho la Mwezi Mtukufu wa Ramadhani na hili ni kumi ambalo ndani yake kuna Laylatul-Qadr.
Habari ID: 3473866    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/01

TEHRAN (IQNA)- Haram Takatifu ya Hadhrat Abdul Adhim Hassani (AS) katika eneo la Rey, kusini mwa Tehran huandaa vikao vya qiraa ya Tarteel ya Qur'ani Tukufu kila siku katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473854    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/27

TEHRAN (IQNA) – Qarii maarufu wa Qur’ani Tukufu nchini Misri ametuma ujumbe kwa Waislamu kote duniani kwa mnasaba wa kuanza Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473823    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/17

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah Sayyid Abdul-Malik Badreddin al-Houthi amesema Waislamu duniani kote wanapaswa kurejea katika mafundisho ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473800    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/10

TEHRAN (IQNA)- Mashindano ya kila mwaka ya kuhifadhi Qur’ani katika Umoja wa Falme za Kiarabu yatafanyika kwa njia ya intaneti mwaka huu.
Habari ID: 3473793    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/08

TEHRAN (IQNA) – Radio ya Qur’an ya Qatar imetangaza kuwa tayari kurusha hewani vipindi maalumu vya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3473784    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/05