IQNA

Kombe la Dunia la Qatar

Mashabiki wa Morocco wasikiza Qur'ani Tukufu baada ya ushindi wa kihistoria Kombe la Dunia

17:56 - December 04, 2022
Habari ID: 3476196
TEHRAN (IQNA) – Klipu ya video imesambaa kwa kasi kubwa katika mitandao ya kijamuu ikimuonyesha Mbosnia Hafhid wa Qur'ani Fatih Seferagic akisoma baadhi ya aya baada ya ombi la mashabiki wa Morocco katika jiji kuu la Doha walipokuwa wakisherehekea ushindi wa kihistoria wa timu yao dhidi ya Kanada siku ya Alhamisi kwenye Kombe la Dunia la FIFA la 2022.

Hii hapa klipu ya qiraa hiyo.

Kishikizo: qurani tukufu
Jina:
Baruapepe:
* maoni:
captcha