iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Jumuiya ya Wasomaji Qur'ani Tukufu Misri imeitisha mkutano hivi karibuni ambapo imeamuliwa kuwa wananchama wote wapya wanapaswa kuwa wamehifadhi Qur'ani Tukufu kikamilifu.
Habari ID: 3474742    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/30

TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni mwandamizi nchini Iran amesema Qur'ani Tukufu ni muujiza wa kudumu.
Habari ID: 3474740    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/29

TEHRAN (IQNA)- Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu Kuwait imeandaa mashindano ya mabingwa wa Qur’ani katika kategoria za wanawake na wanaume.
Habari ID: 3474714    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/23

Habari ID: 3474711    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/23

TEHRAN (IQNA)- Maonyesho ya Misahafu ya kale yanafanyika katika mjini Sharjah Umnoja wa FALME ZA Kiarabu (UAE) katika Chuo kikuu cha Sharjah, Tawi la Kalba.
Habari ID: 3474708    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/22

TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Kidini katika Bunge la Misri limeanza kujadili pendekezo la kuandika tafsiri mpya ya Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3474707    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/22

TEHRAN (IQNA) – Duru ya kwanza ya mashindano yay a kitaifa ya wanawake itafanyika nchini Kyrgyzstan.
Habari ID: 3474698    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/20

TEHRAN (IQNA)- Qarii maarufu wa Misri Abdul Fattah Tartouti amesimulia kisa cha ajabu cha qarii mwenzake marhum Muhammad al-Laythi.
Habari ID: 3474693    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/19

TEHRAN (IQNA)- Chombo cha kidijitali chenye Qur'ani Tukufu na tafsiri katika maandishi ya nukta nundu au braille kimeundwa Saudi Arabia kwa ajili ya wenye ulemavu wa macho.
Habari ID: 3474689    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/18

TEHRAN (IQNA)- Sheikh Taha la Fashni alikuwa qarii mashuhuri wa Qur'ani Tukufu na alikuwa pia ni mfuasi wa qiraa ya Sheikh Mustafa Ismail.
Habari ID: 3474672    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/14

TEHRAN (IQNA)- Mahafali ya kuhitimu mamia ya wanafunzi walioifadhi Qur'ani Tukufu imefanyika kaskazini mashariki mwa Uturuki katika mkoa wa Rize.
Habari ID: 3474668    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/12

TEHRAN (IQNA)- Qarii wa kimataifa wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mahdi Ghulamnejad amesambaza klipu inayomuonyesha yeye na mwanae wakisoma pamoja sehemu ya Sura Al Balad katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474636    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/04

TEHRAN (IQNA) – Mwanae qarii mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri Sheikh Abdul Basit Abdulswamad amesema baba yake alikuwa na sauti ambayo mbali na Waislamu inawavutia pia wasiokuwa Waislamu.
Habari ID: 3474626    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/01

Leo katika historia
TEHRAN (IQNA)- atika siku kama ya leo miaka 33 iliyopita, aliaga dunia katika mji wa Cairo Misri, Sheikh Abdul-Basit Abdul-Samad, mmoja wa waalimu na maqarii wakubwa wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474621    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/30

TEHRAN (IQNA)- Katika mitandao ya kijamii kumesambaa kilpu ya Qarii Abdullah Khaled wa Pakistan akiwa anasoma aya za Surah Ibrahim.
Habari ID: 3474610    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28

TEHRAN (IQNA)- Warsh ya kujadili 'Hali ya Qiraa na Tajwid ya Qur'ani Tukufu Barani Afrika' imepangwa kufanyika wiki ijayo kwa njia ya intaneti.
Habari ID: 3474600    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25

TEHRAN (IQNA)- Taha Ezzat ni kijana mwenye umri wa miaka 17 kutoka mkoa wa El Beheira Misri na amepata umashuhuri Misri na duniania kutokana na qiraa yake ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3474594    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23

TEHRAN (IQNA)- Vituo vya kuwafunza waalimu wa Qur'ani nchini Misri vinatazamiwa kuanza tena shughuli zao baada ya kufungwa kwa mwaka moja.
Habari ID: 3474579    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/19

TEHRAN (IQNA)- Lugha ya Kalenjin nchini Kenya inakadiriwa kuwa na wazungumzaji milioni 6.3 na sasa jamii hiyo kubwa kwa mara ya kwanza imepata Qur'ani Tukufu iliyotarjumiwa kwa lugha yao.
Habari ID: 3474557    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14

TEHRAN (IQNA)- Dini tukufu ya Kiislamu inawahimiza waumini kujiepusha na israfu hasa katika chakula kwani huku Waislamu wakiwa kuwasaidia wasiojiweza katika jamii.
Habari ID: 3474554    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/14